Havertz wengi wadhani ni striker au "deep lying midfielder" jambo ambalo si sahihi.Hii game angeanza Jesus ingeisha half time ,najua ilikuwa ngumu kumpiga bench nketiah sababu ya form yake
Saka hakuwa mchezon kabisa leo
Kai bado anatafuta confidence kucheza double 8 anazidi kuzoea
Declan Rice what a player
Zinny atapiga pass za mbele Hana show mbovu
Vieira Ni muda Sasa aingie first eleven,alisakamwa Sana tukasimama nae kidete ,siku zote naamini katika talent
Mkuu unajua boluKesho akiwekwa Kai ushindi utakuja ila utachelewa.
Asipowekwa ni ushindi kwa uhakika zaidi


itakuwa ni ujinga kumuuza Partey na kuuacha USHUZI kama HarvetzPartey January tuuze mapema
Arteta says about Partey's groin injury:
"It doesn't look good. We need some more tests. I believe he'll be out for a few weeks."
Sorry mkuu, unamaanisha zile jezi za Kariakoo za Tsh 25000?!Mashabiki ni wadau wakubwa wa timu; ukinunua jezi/scurf/ kofia/sticker/ tracksuit ya timu unakuwa umechangia kwenye timu. Hela iliyotumika kumnunua Havertz kuna mchango wangu. So when things are going wrong, I have to speak out my mind
Muda wa Fabio Vieira maestro kuanza na Kai kuanzia benchi umefika.Rice taratibu anachukua Dimba la Kati
£105m
Mpira hauna miujizaMiracleeeeee
Hapo ndipo kazi ya umeneja inapokuwa muhimu sana kwa timu.Partey January tuuze mapema
Arteta says about Partey's groin injury:
"It doesn't look good. We need some more tests. I believe he'll be out for a few weeks."
Yani mnajisifia kabisa kufunga beki hikiwa Maguire na Evans shame on you Wenger orphans.View attachment 2737844
Harvetz uwezo wake ndipo ulipoishia,hatakuja kubadilika mark my words,anapaswa kupewa muda kwenye CARABAO CUP na sio EPL au UEFA,kwanza hata kujituma tu kukaba ni shida!!ni ajabu kumuacha nje VIERA,TROSSAD na JESUS na kumuacha huyu JINGA Harvetz dakika 70,huyu ni FLOP TUMEPIGWA tukubali matokeo,goli gani kakosa lile??Mikel Arteta kuhusu Kai Havertz:
"Nilimwambia jana mwanzo ni mgumu. Nilipokutana na mke wangu mwanzo ilikuwa ngumu kumpata, ilibidi nijaribu kutuma ujumbe na kwenda na kwenda.,Hadi mwishoni aliposema ndiyo nataka kuwa pamoja, "
[sky]![]()
mwamba.. sidhani kama ni saka hakuwa mchezoni.. tumsifie dalot ambae alim mark vema leo saka.Kurejea kwa Jesus ,Zinny, form ya Vieira itakuwa poa Sana
Leo Saka hakuwa mchezon kabisa
Hivi wale manjesta mbona hawana mipango kabisa ,magoli Yao wanasubiri miujiza au makosa binafsi ,
Haya masuala ya kumsubiri mtu ajifunze wakati ambao tunataka matokeo ndio jambo ambalo sisi mashabiki hatuwezi kulivumilia.Havertz atakiwa sasa akazanie kujifunza kutopoteza mipira sana na pia kutokuwa slow kwenye kulink mchezo.
Pia kuna hizi formations.Nikikumbuka Fabio Viera Alivokuwa Anasemwa Sijui Hana Afya,Mara Arsenal Tumepigwa,mara apelekwe mkopo ,
Ila Kwa Sasa Anawaprove Wrong Weng.Nafikiri Arteta Ampe Nafasi Sasa Ya Kuanz first eleven
Talent zinahitaji muda View attachment 2737880
Wadau humu hatupingi Kai kupata time. Everyone anahitaji kucheza.Mkuu Kai anahitaji game time ,Kama Fabio Vieira, kumbuka last season Fabio Vieira alivyotukanwa humu ,watu walifikia hatua wanasema atolewe loan
Hii game angeanza Jesus ingeisha half time ,najua ilikuwa ngumu kumpiga bench nketiah sababu ya form yake
Saka hakuwa mchezon kabisa leo
Kai bado anatafuta confidence kucheza double 8 anazidi kuzoea
Declan Rice what a player
Zinny atapiga pass za mbele Hana show mbovu
Vieira Ni muda Sasa aingie first eleven,alisakamwa Sana tukasimama nae kidete ,siku zote naamini katika talent
