Ili wazee humu ndani mmezidi aisee haswa nyie fans wenzangu wa arsenal...mm sioni kosa la
hamis77 yan hadi nyie mnafata mkumbo wa timu pinzan mnamsema..kwan kuna kosa mtu kutetea timu yake?? Hiv mnajua maana ya ushabiki nyie hata kama anaongea kwa mahaba sabb ni shabiki na hilo namsapoti badala nyie muwe na ushabiki basi kutwa mnamsema.
Kuna haja gani ya kuwa na jukwaa la.arsenal sasa ikiwa mashabiki wanamzodoa mwenzao?..haiingii akilini kuna shabiki wa timu nyingne anakuja kuprovoke hapa kisa kai na arteta then wote na nyie mnawaunga mkono.
Haya tuseme sawa kai hajui, arteta hajui sasa wewe kama fan wa arsenal impact yako nn zaidi ya kuzidi kuonyesha umoja sabb tayr ni timu yetu na ndo wa kwetu.
Acheni unafki bwana inaonekana humu watu wengi mna unafki sana yan sjui kwann hammkubali huyu jamaa wakati mm namterm as shabiki wa kweli hana hisia mbili mbili.
Acheni mambo ya kiswahili nyie fans wenzangu wa arsenal tuwe kitu kimoja msiwape wapinzan picha kwamba sisi wenyewe hatupendani, huo ni uswahili na unafki yan mtu anjiita kabsa shabiki wa arsenal halaf anamsema mwenzie maneno kibao kisa tu ana mdefend kai na arteta acheni mambo ya kiseng*.