Hahaha dahHamisi anatupa burudani kama ya MR BEAN
Hahaha dahHamisi anatupa burudani kama ya MR BEAN
Hahaha dahHamisi anatupa burudani kama ya MR BEAN
Duh na matusi mmeanza.Ili wazee humu ndani mmezidi aisee haswa nyie fans wenzangu wa arsenal...mm sioni kosa la hamis77 yan hadi nyie mnafata mkumbo wa timu pinzan mnamsema..kwan kuna kosa mtu kutetea timu yake?? Hiv mnajua maana ya ushabiki nyie hata kama anaongea kwa mahaba sabb ni shabiki na hilo namsapoti badala nyie muwe na ushabiki basi kutwa mnamsema.
Kuna haja gani ya kuwa na jukwaa la.arsenal sasa ikiwa mashabiki wanamzodoa mwenzao?..haiingii akilini kuna shabiki wa timu nyingne anakuja kuprovoke hapa kisa kai na arteta then wote na nyie mnawaunga mkono.
Haya tuseme sawa kai hajui, arteta hajui sasa wewe kama fan wa arsenal impact yako nn zaidi ya kuzidi kuonyesha umoja sabb tayr ni timu yetu na ndo wa kwetu.
Acheni unafki bwana inaonekana humu watu wengi mna unafki sana yan sjui kwann hammkubali huyu jamaa wakati mm namterm as shabiki wa kweli hana hisia mbili mbili.
Acheni mambo ya kiswahili nyie fans wenzangu wa arsenal tuwe kitu kimoja msiwape wapinzan picha kwamba sisi wenyewe hatupendani, huo ni uswahili na unafki yan mtu anjiita kabsa shabiki wa arsenal halaf anamsema mwenzie maneno kibao kisa tu ana mdefend kai na arteta acheni mambo ya kiseng*.
Mkuu sawa tumekusikia lakini tuseme tu ukweli pale kwa Kai tumepigwa.Ili wazee humu ndani mmezidi aisee haswa nyie fans wenzangu wa arsenal...mm sioni kosa la hamis77 yan hadi nyie mnafata mkumbo wa timu pinzan mnamsema..kwan kuna kosa mtu kutetea timu yake?? Hiv mnajua maana ya ushabiki nyie hata kama anaongea kwa mahaba sabb ni shabiki na hilo namsapoti badala nyie muwe na ushabiki basi kutwa mnamsema.
Kuna haja gani ya kuwa na jukwaa la.arsenal sasa ikiwa mashabiki wanamzodoa mwenzao?..haiingii akilini kuna shabiki wa timu nyingne anakuja kuprovoke hapa kisa kai na arteta then wote na nyie mnawaunga mkono.
Haya tuseme sawa kai hajui, arteta hajui sasa wewe kama fan wa arsenal impact yako nn zaidi ya kuzidi kuonyesha umoja sabb tayr ni timu yetu na ndo wa kwetu.
Acheni unafki bwana inaonekana humu watu wengi mna unafki sana yan sjui kwann hammkubali huyu jamaa wakati mm namterm as shabiki wa kweli hana hisia mbili mbili.
Acheni mambo ya kiswahili nyie fans wenzangu wa arsenal tuwe kitu kimoja msiwape wapinzan picha kwamba sisi wenyewe hatupendani, huo ni uswahili na unafki yan mtu anjiita kabsa shabiki wa arsenal halaf anamsema mwenzie maneno kibao kisa tu ana mdefend kai na arteta acheni mambo ya kiseng*.
Ww ni mzee wa kuuma na kupuliza...unajua litimu lako livivu na kule kwny jukwaa Lenu huwa unatapika kwlikwli...Sasa ile spirit unaleta hdi hmu kufarakanisha watu...kapambanenj kumtoa glazer kule sio kutuletea vita hmu ndani....Kai anatupa burudani sana
![]()

humu tunataka kuanzisha kampeni ya "Masingeli bringback our team"

Mpaka kesho baada ya mechi Masingeli asipotema ndoano niulizwe mimi. 

Sasa hivi humu hata kuhoji haturuhusiwi, ukihoji tu Masingeli anakwambia uonyeshe leseni ya ukocha na utaje timu uliyofundisha hata kama ni timu ya kanisa au msikitini.Halafu sasa uzuri mashabiki wa Arsenal hua katika 100 ni 20 ndiyo watamkunjia Kocha, waliobaki watakubali kua anafaa ila aangalie nani ni nini
Hili jukwaa limetoka mbali, kuanzia tunachezea banter, tunapigwa game mfululizo, watu wanaodai ni mashabiki wakapotea tukabaki watu hatuzidi wawili.
Tumerudi on track na id mpya zinakuja kuandika matusi.

tena wewe Castr umetoka mbali sana na hii timu, katika mashabiki wakongwe wa Arsenal wewe ni miongoni mwao, binafsi katika mashabiki wa Arsenal humu jukwaani wewe hua nakuheshimu sana, najua wapi ulitoka na hii timu mpaka kufikia hapo mlipo, ajabu kuna watu hivi sasa wanataka kuwanyang'anya mpaka uhuru wa kutoa maoni tu juu timu yenu kisa hamjawahi kufundisha hata timu ya kanisa

Sasa wewe unajielewa kweli? Kwahiyo results ndio kitu kinacho-matter kwako?Halaf kesho ikishinda ni nyie nyie mnaanza mbwe mbwe tena stupid fans
Huyu Mdau ana tatizo somewhere sio bure kaongea upupu wa hali ya juu huyu atakuwa shabiki fekiSasa wewe unajielewa kweli? Kwahiyo results ndio kitu kinacho-matter kwako?
So tukishinda then what?
Jukumu la kocha ni kuhakikisha tunapata matokeo, na sisi fans tuna haki ya kuhoji tumeshinda vipi.. thus why kwenye kukosoa tunakosoa.
Sio kwa kuwa timu imeshinda basi tusihoji kama tumecheza vibaya.
Kwani kuna timu ambayo haimkosoi kocha?
Nenda jukwaa la Liverpool kawaone wale kops walivyo na matumaini na timu yao, but still they talk football, kwamba palipozingua panaongelewa.
Eti kwenye timu yetu tu ndio kuna watu wanajiona wao ndio wao.
Last results: 2-1, 0-1, 2-2 against bottom-half teams na mfumo waueleweki.
And still some people feed as sh*t, wtf*!
Sasa wewe unajielewa kweli? Kwahiyo results ndio kitu kinacho-matter kwako?
So tukishinda then what?
Jukumu la kocha ni kuhakikisha tunapata matokeo, na sisi fans tuna haki ya kuhoji tumeshinda vipi.. thus why kwenye kukosoa tunakosoa.
Sio kwa kuwa timu imeshinda basi tusihoji kama tumecheza vibaya.
Kwani kuna timu ambayo haimkosoi kocha?
Nenda jukwaa la Liverpool kawaone wale kops walivyo na matumaini na timu yao, but still they talk football, kwamba palipozingua panaongelewa.
Eti kwenye timu yetu tu ndio kuna watu wanajiona wao ndio wao.
Last results: 2-1, 0-1, 2-2 against bottom-half teams na mfumo waueleweki.
And still some people feed as sh*t, wtf*!
Ww ni mzee wa kuuma na kupuliza...unajua litimu lako livivu na kule kwny jukwaa Lenu huwa unatapika kwlikwli...Sasa ile spirit unaleta hdi hmu kufarakanisha watu...kapambanenj kumtoa glazer kule sio kutuletea vita hmu ndani....Kai anatupa burudani sana
![]()

Jukwaa limepoa hili ngoja tulichangamshe kidogo. 

Masingeli usipoacha udikteta wa kutaka watu kabla ya kuhoji waonyeshe timu alizowahi kufundisha chama kitakufia mikononi hiki shauri yako, utapoteza wanachama mmoja mmoja mpaka utajikuta umebaki peke yako humu.Inaonesha kutokuwai kufundisha ata timu ya kanisa imewaumiza Sanatena wewe Castr umetoka mbali sana na hii timu, katika mashabiki wakongwe wa Arsenal wewe ni miongoni mwao, binafsi katika mashabiki wa Arsenal humu jukwaani wewe hua nakuheshimu sana, najua wapi ulitoka na hii timu mpaka kufikia hapo mlipo, ajabu kuna watu hivi sasa wanataka kuwanyang'anya mpaka uhuru wa kutoa maoni tu juu timu yenu kisa hamjawahi kufundisha hata timu ya kanisa
![]()

Unatakiwa umwambie Arteta Ili ajirekebishe!..sio kutuambia sisi!.. hapa unatupigia tu kelele maana hatutakusaidia Kwa lolote!... Ki ukweli tunajifurahisha tu hapa... Edu na Arteta hawajui kama Huku Tanzania Kuna watu hawaridhiki... Nakupongeza kwa kuchangia timu Kwa kununua jezi!.. Kuna watu wanajiita Mashabiki hawajawai kununua hata leso tu ya kufutia jasho yenye chat ya Arsenal.. ila Sasa Huku jukwaani wanavulumisha matusi magumu magumu!Mashabiki ni wadau wakubwa wa timu; ukinunua jezi/scurf/ kofia/sticker/ tracksuit ya timu unakuwa umechangia kwenye timu. Hela iliyotumika kumnunua Havertz kuna mchango wangu. So when things are going wrong, I have to speak out my mind
Inaonesha kutokuwai kufundisha ata timu ya kanisa imewaumiza Sana![]()

Hili jukwaa jinsi Masingeli mzee wa ngwasuma avyoliendesha huko tunapoelekea kama hauna leseni ya ukocha itakua ni marufuku kucomments humu.Hili jukwaa jinsi Masingeli mzee wa ngwasuma avyoliendesha huko tunapoelekea kama huna leseni ya ukocha itakua ni marufuku kucomments humu.

bado hamjasema

Unatakiwa umwambie Arteta Ili ajirekebishe!..sio kutuambia sisi!.. hapa unatupigia tu kelele maana hatutakusaidia Kwa lolote!... Ki ukweli tunajifurahisha tu hapa... Edu na Arteta hawajui kama Huku Tanzania Kuna watu hawaridhiki... Nakupongeza kwa kuchangia timu Kwa kununua jezi!.. Kuna watu wanajiita Mashabiki hawajawai kununua hata leso tu ya kufutia jasho yenye chat ya Arsenal.. ila Sasa Huku jukwaani wanavulumisha matusi magumu magumu!
Kwenye majukwaa mengine Masingeli hua tunamchukulia kama mpinzani tu, ni kawaida kwa wapinzani jambo liwe zuri au baya we unakandia tu kiushabiki, ila humu ameamua kujimilikisha hili jukwaa, anapiga marufuku mpaka watu kumquote, sasa hivi amevuka mipaka yaani anakiuka mpaka haki za binadamubado hamjasema
hamis77 mbona wenyewe wa gunnerstunamkubali sana, kupishana na mawazo ni kawaida
Ila Kuna chokochoko hazivumiliki, na uzuri wa hamis77 anaposimamia ni hapo hapo.
Sasa kilichotokea asilimia 95% kinachoendelea unyumbuni alishakisema, chuki juu yake ndio zinaanza
Kule ukengeni fc, na kocha wao Potter kipindi kile, aliwaambia vitu criticals na kweli vilivyotokea wote mliona
Sasa mtu Kama huyu Kama sio kuchukiwa Basi ni kumuundia kamati za kumchafua tu![]()

yaani ule uhuru wa maoni kwenye hili jukwaa haupo tena, ukitaka kuchangia unaambiwa uonyeshe kwanza timu unayofundisha aidha iwe ni ya msikiti au kanisa

Naona mmeamua kuanza kututukana sasa sisi mashabiki wa Arsenal wa JFUnatakiwa umwambie Arteta Ili ajirekebishe!..sio kutuambia sisi!.. hapa unatupigia tu kelele maana hatutakusaidia Kwa lolote!... Ki ukweli tunajifurahisha tu hapa... Edu na Arteta hawajui kama Huku Tanzania Kuna watu hawaridhiki... Nakupongeza kwa kuchangia timu Kwa kununua jezi!.. Kuna watu wanajiita Mashabiki hawajawai kununua hata leso tu ya kufutia jasho yenye chat ya Arsenal.. ila Sasa Huku jukwaani wanavulumisha matusi magumu magumu!
Kwenye majukwaa mengine Masingeli hua tunamchukulia kama mpinzani tu, ni kawaida kwa wapinzani jambo liwe zuri au baya we unakandia tu kiushabiki, ila humu ameamua kujimilikisha hili jukwaa, anapiga marufuku mpaka watu kumquote, sasa hivi amevuka mipaka yaani anakiuka mpaka haki za binadamuyaani ule uhuru wa maoni kwenye hili jukwaa haupo tena, ukitaka kuchangia unaambiwa uonyeshe kwanza timu unayofundisha aidha iwe ni msikiti au kanisa
![]()