Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

United kacheza sana nyuma ili atuvute apige kaunta its the reason Onana anaonekana ana pass nyingi kuliko baadhi ya wachezaji.

At some point united akipata mpira anafika katikati na unaona hajui afanye nini. Erik alitakiwa awe kashajua kua huo mchezo hakuna siku hizi
 
Muiteni Flano...Allypipi...kuna Ollachuga waje tudi scuss kiungwana tu.... Rashford kuna pahala tulikosana naye???....mbona tukikutana naye anakaza kiuno sana yule msela...Hojlund striker la boli limetisha....Antony huwa akikutana na arsenal anakuwa kama ana kisasi hivi na sisi...au alitaka tumnunue hlfu tukamkataa...all in all...Man U wamepiga mpira mwingi sana...kiukweli kabisa
Waite mkuu
 
Waite mkuu
Huwa wanatutambia Sanaa....ile Pre season ya Marekani iliwadanganya🤠🤠🤠...ww tangu 2017 hujawahi kushinda pale Emirates unapataje jeuri ya kuja kutupigia kelele hmu🤠🤠🤠...bila kumsahau Labyrinth 84...aje naye tudiscuss....maana kama namuona alivyoshangilia goli la Garnacho baada ya jana kumpiga mabango na kile kikundi chake cha Marathon Nyukesto🤠🤠🤠
 
Yani mnajisifia kabisa kufunga beki hikiwa Maguire na Evans shame on you Wenger orphans.
1692194363957.jpg
 
Tufurahie ushindi wana Gunners.

Ni point 3 kubwa.

Lakini pia tukumbushane au tuekane sawa, msimu huu tupunguze matarajio makubwa.

Kwa namna tunavyocheza haivutii kama ilivyo msimu uliopita na naomba nimlaumu Arteta moja kwa moja, yeye ndio tatizo.

Twende kwenye international break, lakini tujue timu yetu bado. Ina safari ndefu. Tusijipe false hopes!
 
Arteta ni mpuuzi sana anavyolazimisha HARVETZ acheze,hii mechi ilikuwa na magoli mengi tangu half ya kwanza
Havertz amechukua nafasi ya Xhaka na ataweza kuwa sawa.

Anatakiwa awe na maelewano mazuri ya Zinchenko upande wao wa kushoto.

Atakuwa sawa tu na atafunga magoli kama ilivyokuwa kwa Xhaka.

Mpira wa wenzetu ni mipango na mifumo na ili kuipatia kucheza yatakiwa uwe na ustahamilivu.

Meneja ana imani na Harvetz na atakuwa acheza kila mechi ili kufit in katika mfumo wa uchezaji wa Arsenal.

Ila huko mbele Jesus atarudi kuanza mechi na Nketia atarudi bench.

Pia hali ya hewa kulikuwa na joto kali hivyo kuathiri uchezaji kwa kuufanya uwe slow sana.
 
Tumeshinda lakini tumecheza mpira low quality sana
Hii game angeanza Jesus ingeisha half time ,najua ilikuwa ngumu kumpiga bench nketiah sababu ya form yake

Saka hakuwa mchezon kabisa leo

Kai bado anatafuta confidence kucheza double 8 anazidi kuzoea

Declan Rice what a player

Zinny atapiga pass za mbele Hana show mbovu

Vieira Ni muda Sasa aingie first eleven,alisakamwa Sana tukasimama nae kidete ,siku zote naamini katika talent
 
Now you are talking my friend
 
Havertz amechukua nafasi ya Xhaka na ataweza kuwa sawa.

Anatakiwa awe na maelewano mazuri ya Zinchenko upande wao wa kushoto.

Atakuwa sawa tu na atafunga magoli kama ilivyokuwa kwa Xhaka.

Mpira wa wenzetu ni mipango na mifumo na ili kuipatia kucheza yatakiwa uwe na ustahamilivu.

Meneja ana imani na Harvetz na atakuwa acheza kila mechi ili kufit in katika mfumo wa uchezaji wa Arsenal.

Ila huko mbele Jesus atarudi kuanza mechi na Nketia atarudi bench.

Pia hali ya hewa kulikuwa na joto kali hivyo kuathiri uchezaji kwa kuufanya uwe slow sana.
Bro,kwa HARVETZ ndipo uwezo wake ulipoishia,ile move ya goli la Jesus kwa mfano nina uhakika angekuwa Harvetz asingeweza kufanya vile,Harvetz inatakiwa acheze mechi za CARABAO huko ili apate fitness kwa kuwa sasa anacheza kwa pressure na sio kulazimisha aingie moja kwa moja kwenye Timu,ni mzigo kukaba kwenyewe anakaba kwa macho,kuna goli alikosa hata mtoto wangu wa darasa la pili angefunga
 
Back
Top Bottom