Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaaaaa ,Toddy mseng€ Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],yaani Havertz ni wa kuuzwa kwa bei ile kweli ?
 
Nina wasiwasi ARTETA na KAI kuna zaidi ya tusilolijua[emoji848]
Yule mtoto mjerumani ni mchawi sana , sijui alizindika nini , yaani alimroga Lampard ,Tuchel , Potter ,Lampard tena na sasa kamriga Arteta ,sijui coaches wanaona nini kwa huyu dogo ,maana upuuzi anaofanya ground ni mwingi kuliko kawaida yet kwa hao makocha wote amekuwa full time starter kila mechi ,
Ni maajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom