Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Angalau mmetupunguzia kelele za hawa nyumbu mtaani
kwa hiyo HARVETZ ndio anafaa kuanza mechi hizi na kucheza dakika 70Kabla meneja hajapanga timu huangalia timu pinzani na kisha huangalia ni wachezaji wepi wafaa kuanza mechi.
tusidanganyane humu,Harvetz ni mzigo kama furushi tuWamekuwa wakiwaza hii break ya wiki mbili au vacation.Pressing na athleitism imeshuka sio utani
Mzee kwa Boli alilopiga leo Rice kwenye Lile Dimba hadi nmeogopa aiseeMe nataka Rice achukue Role ya Xhaka Anaiweza vizuri sana . Pale chini amuache Parteyna Jorginho
Huwa wanatutambia Sanaa....ile Pre season ya Marekani iliwadanganya...ww tangu 2017 hujawahi kushinda pale Emirates unapataje jeuri ya kuja kutupigia kelele hmu
...bila kumsahau Labyrinth 84...aje naye tudiscuss....maana kama namuona alivyoshangilia goli la Garnacho baada ya jana kumpiga mabango na kile kikundi chake cha Marathon Nyukesto
![]()


sina cha kuongea mkuu wewe chekelea ushindi tu ni zamu yako kucheka na kufurahi.
wakakamatwa wakishangilia ubingwa after man utd game so nothing new. Wakati wanatoka mapumziko ya kipindi cha kwanza Zinny alionekana kwenye Tv akimpa Kai maelekezo kuhusu positioning wataalamu wa body language tulielewa.Kama uliliona jambo kwenye mechi mda mwingine Zinny alikuwa ana kosa kujiamin kuingia kwenye mid kutokana na Harvertz kutokujua aji position vipi na mahali gani anatakiwa kuwepo zinny akipanda
Arteta kama Pep tu, watu wamepiga kelele kuhusu grealish ila panga pangua hakosi first elevenArteta aache EGO, nadhani kama ana akili kuna kitu atakuwa amejifunza.
Wameingia wenye timu yao na kila kitu kimebadilika.
Yes,tena Zinny alikuwa anamuelekeza Kai mpaka mishipa ya shingoni imemsimama,means ni kama alikuwa anampa makavu kwamba aache kucheza kimamamama Uwanjani,lakini ndio hivyo Arteta ana mahaba nae kama karogwa sijui limbwata daaahWakati wanatoka mapumziko ya kipindi cha kwanza Zinny alionekana kwenye Tv akimpa Kai maelekezo kuhusu positioning wataalamu wa body language tulielewa.
Mtashangaa Harvetz aanza kila game msimu huu.kwa hiyo HARVETZ ndio anafaa kuanza mechi hizi na kucheza dakika 70tusidanganyane humu,Harvetz ni mzigo kama furushi tu
Muiteni Flano...Allypipi...kuna Ollachuga waje tudi scuss kiungwana tu.... Rashford kuna pahala tulikosana naye???....mbona tukikutana naye anakaza kiuno sana yule msela
...Hojlund striker la boli limetisha....Antony huwa akikutana na arsenal anakuwa kama ana kisasi hivi na sisi...au alitaka tumnunue hlfu tukamkataa
...all in all...Man U wamepiga mpira mwingi sana...kiukweli kabisa


Kuupiga mwingi huku mshachomekwa goli 3 haisaidii kitu. 



Wao wamaamini kuwa huwezi kupoteza pesa nyingi kwa kusajili mchezaji ambae hutamtumia ipasavyo.Arteta kama Pep tu, watu wamepiga kelele kuhusu grealish ila panga pangua hakosi first eleven
Baba Ubaya huwa hajifunzi kabisa....Antony akitoka huwa kuna kitu mnapoteza...yule jamaa ana ule mpira wa kitukutu wa Latin America🤠🤠🤠....alipotoka tu nikasema tyri mda umefika... Rashford inabidi kocha azungumze naye aache uchoyo vngnevyo hyo hojlund mtamuona kama kopo tu...kuna nafasi alipata baada ampe pasi mapema yy akaleta ujuaji🤠🤠🤠....ila kiukweli kabisa leo mmecheza mpira mkubwa sana Man U....mkicheza vile na Chelsea mnawabonda...sijui kina Nyukesto wte mtawadunda...tupo hapa🤠🤠🤠Kuupiga mwingi huku mshachomekwa goli 3 haisaidii kitu.
Mimi baada ya kutolewa tu Masebene nikajua tayari muda wa kurowekwa umeshawadia.
Hongereni sana Arsenyau kwa ushindi mnono, hizo dakika za nyongeza inabidi tukae chini tujadiliane kwa pamoja ikibidi mtueleze tu kosa letu ni nini na nyinyi? na kama hayazungumziki basi baada ya kumalizika dakika 90 bora Ten eggs atoe tu wachezaji uwanjani maana sio kwa huo msako mnaotupiga kila baada ya dakika 90 kukamilika.
Ila Kai Havertz aiseeee
Halafu bado Masingeli anamtetea, Arteta angeendelea kukaza shingo akakomaa nae bila kumtoa sasa hivi mngekua mnatukanana humu. View attachment 2737975
Hahahaha pale naona amekubali kwamba kapuyangaWao wamaamini kuwa huwezi kupoteza pesa nyingi kwa kusajili mchezaji ambae hutamtumia ipasavyo.
Lakini wakati huohuo Pep yuko tayari kumuona Kalvin Phillips akikaa bench bila kucheza.
Umeanza kuwa mpiga ramli braza🤠🤠🤠...kwni mna point ngapi mpk Sasa mkuu...narudia tena kukukumbusha...nyny msimu huu mnarudi nafasi zenu za siku zte....saba huko kishuka chini....nyny ni watoto wadogo sana bdo🤠🤠🤠sina cha kuongea mkuu wewe chekelea ushindi tu ni zamu yako kucheka na kufurahi.
Zamu yetu kucheka na kufurahi humu ikifika tutafanya ivyo nikukumbushe tu ulifurahi siku 258 last season ila zikiwa zimebaki siku 20 kilio kikuu kikakutawala hata mwaka jana ulivyomfunga man utd ukajitangaza bingwa , wenzenu fans wawakakamatwa wakishangilia ubingwa after man utd game so nothing new.
Ila kumbuka tu anayecheka mwisho ndo mjanja zaidiii . Moments kama hizi ndo zinakuja kuonyesha jinsi gani na hatukosei kuwaita false hopers, ushindi huu ni moja ya matumaini bandia mnayopewa
Baba Ubaya huwa hajifunzi kabisa....Antony akitoka huwa kuna kitu mnapoteza...yule jamaa ana ule mpira wa kitukutu wa Latin America....alipotoka tu nikasema tyri mda umefika... Rashford inabidi kocha azungumze naye aache uchoyo vngnevyo hyo hojlund mtamuona kama kopo tu...kuna nafasi alipata baada ampe pasi mapema yy akaleta ujuaji
....ila kiukweli kabisa leo mmecheza mpira mkubwa sana Man U....mkicheza vile na Chelsea mnawabonda...sijui kina Nyukesto wte mtawadunda...tupo hapa
![]()


Rashidi ni fala sana yule mtu, ana uchoyo na ubinafsi sijapata kuona, yupo tayari apoteze mpira kwa kutaka kulazimisha kufunga kuliko kutoa assist. Kai hapana kwa kweli



Kai ni kiungo wa boli mzuri kwenye aerial duel na pia ni mnyumbulifu. 😂🤣🤣 Wakati anaingia maguire sehemu niliyokuwepo mashabiki woote waliokuwa wanaitakia mnaya man u walimshangilia🤣Kai ni mzuri kwenye aerial duel na pia ni mnyumbulifu.
Mechi ya leo nimefurahia sana uwepo wa Kai la sivyo habari ingekua nyingine.
Sasa hivi mashabiki wa timu pinzani wanamfurahia Kai kama vile anavyofurahiwa Maguire.