hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,261
- 26,648
Musiwe mna comment msubiri mpira uishe ,moment Ni nyingi mkuuNipo chini ya miguu yenu, nisamehee comments zangu za hapo awali
Umemuona Fabio Vieira
Musiwe mna comment msubiri mpira uishe ,moment Ni nyingi mkuuNipo chini ya miguu yenu, nisamehee comments zangu za hapo awali
Mkuu Kai anahitaji game time ,Kama Fabio Vieira, kumbuka last season Fabio Vieira alivyotukanwa humu ,watu walifikia hatua wanasema atolewe loanArteta aache EGO, nadhani kama ana akili kuna kitu atakuwa amejifunza.
Wameingia wenye timu yao na kila kitu kimebadilika.
Karibu mkuuMusiwe mna comment msubiri mpira uishe ,moment Ni nyingi mkuu
Umemuona Fabio Vieira
Mkuu! Hawakuwezi😂😂😂☺Mkuu Kai anahitaji game time ,Kama Fabio Vieira, kumbuka last season Fabio Vieira alivyotukanwa humu ,watu walifikia hatua wanasema atolewe loan
Arteta ni mpuuzi sana anavyolazimisha HARVETZ acheze,hii mechi ilikuwa na magoli mengi tangu half ya kwanzaArteta Kama hajajifunza kupitia Fabio Viera kwenye hii mechi ndio basi tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria trossard kabaki njesiongei kinafki.. tumeshinda lkn ni kwa tabu.. ila yote ni kwa sabbu kwenye mfumo w mwanzo.. kai alikuw hana impact.. iyo ipo wazi! kai kucheza mid ni bado.. haelewi awe wap na sa ngap.
Rudin kwny basics.siongei kinafki.. tumeshinda lkn ni kwa tabu.. ila yote ni kwa sabbu kwenye mfumo w mwanzo.. kai alikuw hana impact.. iyo ipo wazi! kai kucheza mid ni bado.. haelewi awe wap na sa ngap.
Muiteni Flano...Allypipi...kuna Ollachuga waje tudi scuss kiungwana tu🤠🤠🤠.... Rashford kuna pahala tulikosana naye???....mbona tukikutana naye anakaza kiuno sana yule msela🤠🤠...Hojlund striker la boli limetisha....Antony huwa akikutana na arsenal anakuwa kama ana kisasi hivi na sisi...au alitaka tumnunue hlfu tukamkataa🤠🤠🤠...all in all...Man U wamepiga mpira mwingi sana...kiukweli kabisaMusiwe mna comment msubiri mpira uishe ,moment Ni nyingi mkuu
Umemuona Fabio Vieira
Kwani lazima aanze?atokee bench kama hili huyo jamaa mwenye EGO hajaliona hili leo sijuiMkuu Kai anahitaji game time ,Kama Fabio Vieira, kumbuka last season Fabio Vieira alivyotukanwa humu ,watu walifikia hatua wanasema atolewe loan
Shukran nduguKaribu mkuu