Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea hadi waje wa click sio leo.

Yan washabik wake watapata wakat mgumu sana.

Ivi na nyie mnapata tabu ingia jukwaa la Chelsea kama mm?... Maana mm kwa app naona siwez ingia au ni log in web
 
Hii ni 2022 namuongelea Odegaard na sajili zingine
 
Hapa ni 2022
 
Hii ni 2021 mimi nasema Odegaard akawe AM
 
January namuongelea Jesus
 
Hii ni 2021 mimi nasema Odegaard akawe AM
hamis77 na wewe leta hapa chambuzi zako ulizosema kuhusu Ødegaard na Ramsdale za mwaka 2021/22 sio unaongea tu porojo kuwasingizia watu uonekane uko sahihi.

Ukileta hapa ulichosema basi najipiga ban sitoingia humu mwezi mzima.

Isn't that a relief? 😂 Haya sote tunangoja quote yako.
 
City 5 - 1 Fulham

No Pep
No Kdb
No Grealish
No Stones

Hawa Fulham ndo waliwatoa jasho wiki iliyopita wakiwa pungufu.

Tuache utani hii epl itaendelea kuwa ya city, mnaobaki pambaneni kuingia top 4.
 
Hii ni 2019 Jesus yupo City na ninaappreciate uwezo wake
 
Kuna watu wanaamini tuna best midifield.pengine kwa wengine ni kweli ila kwangu naona a missing piece of puzzle.
Kwa timu inayocheza mpira wa style ya arsenal,man city,barcelona au hata ajax basi kuna aina ya mchezaji kwenye kiungo cha juu LCM au RCM au namba 10 hasa ambaye watamhitaji kudrive team na ku unlock pattern na kutengeneza pattern.

City waliwahi kuwa na david silva na sasa wana bernado silva,aisee ogopa hawa watu.

Barca ilikuwa na iniesta na xavi,haasa iniesta.

Arsenal ya wenger iliwahi kuwa na hleb,wilshere,nasri ila the beast alikuwa ni CARZOLA.hata rosisky pia

Hivi ushawahi jiuliza kama ingetokea muda unarudi nyuma ukawa na midi ya PARTEY,CARZOLA na WILSHERE au FABRIGAS.

Ubora wa partey hatuuoni vizuri kwa sababu ya kukosa kiungo DRIVER.
kama ARTETA atamuamini vieira na akajaribu kumtumia katikati au kama 10 basi tutaona ambacho hatujawahi ona hasa kama fomu ya vieira itaendelea kukua.

Kuna quality haitengenezwi ila ni kipaji.GUARDIOLA kakaza sana kutomuachia bernado kwasababu kishampoteza GUNDO.

haya ni maoni yangu we need a driver.mtu ambaye anaweza akachekecha akapenya na akatoa pasi au ikibidi aka score.

Kama kuna mchezaji natarajia awe turning point ya arsenal basi ni vieira.ile akili yake na vision na comfortability hufundishwi tu bali ni tafsiri sahihi ya neno FOOTBALL INTELLIGENCE
 
Vieira kwa sasa anacheza vizuri akiingia sub kuliko akianza. Nahisi akicheza na watu ambao hawana fatique anakua anasumbuka, ila bado naamini ana technical ability ya juu na itakuzwa huko Carabao
 
January 2022 namuongelea Arteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…