Hakuna mchezaji wa arsenal wa kumuweka Harvetz nje.ndo maana ni panga pangua.Tuna depth yakutosha ,Hakuna mchezaji wa ukengeni anayeingia first eleven yetu
hahaaaaaTaratiibu tunaanza kuelewana.
Kuna mistari kadhaa una hoja juu kwenye mifano ya Liver, Pep, pungufuBado hujasema!
Sasa mi nikuchukie wewe ile iweje. Au hupendi kuambiwa ukweli?
Haya ngoja twende sawa basi.
Tatizo lako wewe jamaa unamuona Arteta kama malaika vile?
Kai sijui unamuona kama nani. Unasema anapambana sijui anasaidia kwenye kukaba, kukaba wapi?
Watu wanaenda mbele yeye anarudi nyuma, ana-loose balls easily, akienda kukaba anasababisha foul, mzito kufanya maamuzi hata kuweka pasi kwenye right space anashindwa.. kwani huoni? Au mpira unausikilizia redioni!
Ile game vs Crystal Palace ndio iliniuma kweli.
Yani tupo 1-man down, Arteta anamtoa Martinelli anauacha msukule wake uwanjani anasubiri nini? Imetokea transition still mtu yuko lazy unajiuliza alimuachia nini akamtoa Martinelli?
Halafu tuna drop back kulinda goli, mpira unachezwa kwenye half yetu, tunabaki kuomba dua tu goli lisichomolewe.
Tujiulize Guardiola akiwa down to 10-men anafanya drop back? Tumeshindwa hata kufanya rest defense? Halafu still tunamfananisha Arteta na Guardiola.
Liverpool wenyewe walikua ugenini vs Newcastle, na upungufu wao still wamefunguka wamechomoa na kushinda, tungekua sisi kwa tunavyocheza sasa ile mechi ndo ingekua imeisha!
I never questioned uwezo wa Arteta tangu ajiunge 2019, lakini kwa kinachoendelea sasa na imani zake za kijinga atatu-cost huu msimu. Kule kuijenga kote our broken Arsenal team will be for nothing.
Na nyie watu mlioko nyuma yake kama wewe hamis77 ndio mnazidi kutuchanganya, msitufanye wajinga. Timu yetu tunaijua vizuri ilikotoka!
Yule Nketia kwa mpira unaopigwa na Nafasi zinazotengenezwa na Arsenal hakuna wakumuweka Benchi hata Mmja, Nasema hakuna Finisher kama yule pale Arsenal.nketiah jpo simkubali kivile ila mechi ijayo inabidi arteta amuanzishe mana yuko form kwa sasa kwenye kufunga kulinganisha na washmbuliaji wengine.
angalizo ;kwa sasa arteta asithubutu kuwaanzisha kai na ode kama namba 8 wawili mana mmja atamuingilia mwenzie kwenye role yake na atakuwa mzururaji tu.
Hizi ndio profile za kuja pale, wing back|| Arsenal are reportedly interested in signing Benfica’s 25yo RB, Alexander Bah. Bah can also play on both wings and CF [Via - @TipsBladet].
Mkuu hiyo hashtag Kama utani utani lakini itajipa tuMasingeli mwenyewe anajikubali kinoma, anajiweka level moja na mapundits kama Paul Merson, Danny Murphy, Martin Keown, Garry Neville, Dion Dublin, Chriss Wadie, Mark Lawrenson na Peter Drury.
Huku bongo anasema kidogo George Ambagile ndio wanaweza wakakaa pamoja wakajadiliana kuhusu mpira, ila watu wengine wote hapa bongo hakuna anaejua mpira, halafu ukimpinga kwa hoja anakuambia una wivu unamfatafata sana anakupiga na marufuku kabisa usimquote, akikuhurumia sana atakwambia "wewe jamaa kujibiwa Ni matumizi mabaya ya MB"
#Arsenyo Ndoo
#Harvez Kiatu
nilishawahi kusema apa hii kitu kuhusu huyu jamaa..Bukayo Saka says captain, Martin Ødegaard has the highest footballing IQ he has seen.
Wanapigwa mahela ya usoni....atawasaidia🤠🤠🤠....maana kidogo huyo dogo football brain...sio sawa na zile takataka walizojaza paleHivi hawa Chelsea wanawadanganya nini Madogo hadi kuwasajili
Palmer sikutegemea kabisa angeondoka Chini ya Pep wakati nilikua naamin huu ndo ungekua wakati wake kushine saaana.
Hamis wewe ni Muhaya?😂Sina udikteta mkuu , most of our fan base haijui soka ,
Ulishawauliza waliokuwa wanasema Øde hafai leo wanasemaje?
Last season hapa hapa Trossard alikataliwa Leo hao hao wanalilia awe anaanza
Jesus usajili wake ulipingwa Sana humu ,Leo hao hao wanataka asikosekane
Mimi sijali kuwa against 100% na fan base inayoemdeshwa kwa mihemko
Kwasasa siwanamuandama Kai , muda Ni hakimu watakuja kumuimba humu.humu
Kuwa Kama JPM , usipende kuendeshwa na makelele ya wengi, simamia unachoamini ,watu Kama sisi mnatuita madikteta
Ulitegemea wewe na Nani?, Unadhan ode angekuwa kwa makocha matapeli Kama 7hag angekuwa alivyo leo ?Ødegaard akiwa Stromsgodset tulitegemea aje kuwa Levels za Messi. Inaskitisha sana mafanikio aliyopata hadi sasa 25yrs ni kuingia top 4 ya epl na Arsenal.
Wasted talent
Chelsea Hakuna timu pale ni kikundi Cha mdundikoHivi hawa Chelsea wanawadanganya nini Madogo hadi kuwasajili
Palmer sikutegemea kabisa angeondoka Chini ya Pep wakati nilikua naamin huu ndo ungekua wakati wake kushine saaana.
Nina asili ya Israeli , mzazi mmoja mbongo ,mmoja myahudiHamis wewe ni Muhaya?![]()
Una picha yoyote ya Ødergaad akiwa na taji la UEFA??Ulitegemea wewe na Nani?, Unadhan ode angekuwa kwa makocha matapeli Kama 7hag angekuwa alivyo leo ?
Tulinunua talent kwa £30m now inathaman ya £100m+
7hag Hana uwezo wakumdevelop mchezaji hivo mifano ipo Sancho ,n.k
Ødegaard alishabeba UCL na mataji mengine akiwa real Madrid ,akaonekana amefeli akachukuliwa kwa £30m kaja kwa super Mikel Arteta now anathaman ya £100m+
Unadhan ode unaweza kumpata kwa Bei ya nyanya
Kufikia levels za Messi si kazi ndogo kwa yeyote yule ila Ode aliceleweshwa na Madrid. Sisi tumemrudisha kwenye reli. Tusipozingua kama timu na kocha akirekebisha mambo kadhaa, Ode atakuwa wa mot sana kwa miaka 5 au zaidi mbeleØdegaard akiwa Stromsgodset tulitegemea aje kuwa Levels za Messi. Inaskitisha sana mafanikio aliyopata hadi sasa 25yrs ni kuingia top 4 ya epl na Arsenal.
Wasted talent
Na Bruno je kapten wako mlalamishi miaka 27 kafanikiwa Nini , Ødegaard ndio safari anaianzaUna picha yoyote ya Ødergaad akiwa na taji la UEFA??
Huyo mtoto 25 yrs kitu kafanikiwa maisha yake ya mpira kuingia top 4 tu ya epl.
Kama kuna mafanikio yoyote tunaomba uthibitisho wa picha.
Arteta na th tofauti yao ni nywele tu.
Possible, ila tatizo timu anacheza inaitwa Arsenal. Tim inakaa miaka 7 haijaingia champions league.Kufikia levels za Messi si kazi ndogo kwa yeyote yule ila Ode aliceleweshwa na Madrid. Sisi tumemrudisha kwenye reli. Tusipozingua kama timu na kocha akirekebisha mambo kadhaa, Ode atakuwa wa mot sana kwa miaka 5 au zaidi mbele
Kwani Partey ni namba ngapi isee! Sema kitu ambacho tunaweza kukubaliana ni kwamba kila mtu ana mtizamo wake juu ya football. Ila mara nyingi wewe umekuwa anti-partey. Sio kosa kwa vile ndio mtizamo wakoPartey sio namba 6, hajawahi kuwa namba 6, ni kiburi cha Mikel tu kuforce vitu visivyowezekana but i thank God Arteta karudi kwenye basics, Guardiola hawezi mchezesha Partey namba 6 kamwe, Arsenal tutachukua EPL / UCL huku Declan Rice akiwa namba sita afu nitakukumbusha hizi comment zako.