Bado hujasema!
Sasa mi nikuchukie wewe ile iweje. Au hupendi kuambiwa ukweli?
Haya ngoja twende sawa basi.
Tatizo lako wewe jamaa unamuona Arteta kama malaika vile?
Kai sijui unamuona kama nani. Unasema anapambana sijui anasaidia kwenye kukaba, kukaba wapi?
Watu wanaenda mbele yeye anarudi nyuma, ana-loose balls easily, akienda kukaba anasababisha foul, mzito kufanya maamuzi hata kuweka pasi kwenye right space anashindwa.. kwani huoni? Au mpira unausikilizia redioni!
Ile game vs Crystal Palace ndio iliniuma kweli.
Yani tupo 1-man down, Arteta anamtoa Martinelli anauacha msukule wake uwanjani anasubiri nini? Imetokea transition still mtu yuko lazy unajiuliza alimuachia nini akamtoa Martinelli?
Halafu tuna drop back kulinda goli, mpira unachezwa kwenye half yetu, tunabaki kuomba dua tu goli lisichomolewe.
Tujiulize Guardiola akiwa down to 10-men anafanya drop back? Tumeshindwa hata kufanya rest defense? Halafu still tunamfananisha Arteta na Guardiola.
Liverpool wenyewe walikua ugenini vs Newcastle, na upungufu wao still wamefunguka wamechomoa na kushinda, tungekua sisi kwa tunavyocheza sasa ile mechi ndo ingekua imeisha!
I never questioned uwezo wa Arteta tangu ajiunge 2019, lakini kwa kinachoendelea sasa na imani zake za kijinga atatu-cost huu msimu. Kule kuijenga kote our broken Arsenal team will be for nothing.
Na nyie watu mlioko nyuma yake kama wewe
hamis77 ndio mnazidi kutuchanganya, msitufanye wajinga. Timu yetu tunaijua vizuri ilikotoka!