Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safi kabisa maana sisi mashabiki wa United hatutaki mue na sababu yoyote ya kujitetea baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko kutoka kwa vijana machachari wa 10 Hag.
Ila Arsenyau hua hamkosagi sababu za kujitetea, hio Jumapili mkifungwa lawama zote atabebeshwa refa pamoja na VAR ila mashabiki wachache wa Arsenal wenye kujielewa wanajua kabisa tatizo hapo ni Arteta na huyo Kai wake.
Mkuu
Yule double Agent hana baya, kazi yake kubwa aliyopewa na Sheikh Jassim pale Man Utd ni kuhakikisha anawataabisha mashabiki mpaka wamng'oe Glazzer.
Hata mbadili wamiliki mara 10 as long as baba ubaya ni kocha bdo mtakuwa mnarukaruka tu uwanjani
 
Arsenal ina viwanja vinne huwa haisumbuki kupata matokeo

Emirates stadium

London Colney

Stamford bridge

Wembley stadium

Hivi viwanja hata tuwe wabovu Mara nyingi ushindi nje nje ,

Msimu huu UCL inachezwa Wembley

Mpinzani wetu halisi huko UCL ni mancity ukitaka sababu zenye mashiko nitakupa
 
Ulitaka Leno abaki acheze wapi?

Tulimuuza Emi ,mpaka kesho anaichukia Arsenal ,itakuwa Leno ?

Halafu na wewe umehama Arsenal ?maana unasema tulimuuza wa Nini

Umekuwa Kama yule anayesema amehamia PSG mwingine Newcastle

Ndio maana nikauliza kama arsenal tuliona potential yake kwanini tulimuuza? Si angeendelea kuswap games na Ramsdale?
 
Wewe hujui mpira na mafumbo yako kama demu.. umekalia majungu tu mpira huujui kenge wewe!
Sijakutaja mkuu, na ili nisiwe na mvurugano na wewe kwa amani kabisa huwez kuniona nakujibu ,binafs umri wakumu attack mtu nilishapita

Kama nimekukosea nisamehe ,Mimi nimezungumzia General
 
Ndio maana nikauliza kama arsenal tuliona potential yake kwanini tulimuuza? Si angeendelea kuswap games na Ramsdale?
Yule jamaa ovyo Sana mguuni ,Kuna mechi tunahitaji kuwa clinical Sana vs Astonvilla,Westham na Fulham ,makipa wote huwa wanataka kutuonesha tulikosea kuwaacha ,hata last season mech zote za Villa ,Martinez alitusumbua Sana,

Kipa ambaye Arteta aliandamwa Sana kumuuza nadhan kuliko mnavyomuandana kwa kumleta Kai alikuwa Martinez ,nilitetea Sana hili Jambo ,mwisho Martinez watu walimsahau na Martinez aliweka chuki kwa arsenal mpaka kesho ili Hali huyo huyo Arteta ndiye alimpa nafasi baada ya kukaa miaka 10 Arsenal na hukuwahi kuthaminiwa Zaid ya mikopo na kuwa 3 Rd choice

Hata Leno Kuna shit aliziongea ,

Kwasasa una David Raya na Rams ,top GK , Leno hawez kukaa meza moja na hao jamaa
 
Any business at the last minute, bei lazima iwe imesimama
Tunaongeza beki nahisi na itakuwa poa

Kwenye attacking wamejaa Sana

Nataka na naona itakuwa hivo ,LCM watakuwa Rice ,Vieira ,Rowe na Trossard

Kai naona akihamishiwa CF ,

Habari njema Nketiah nae kasema hawez kukubali kuwa backup
 
Yule jamaa ovyo Sana mguuni ,Kuna mechi tunahitaji kuwa clinical Sana vs Astonvilla,Westham na Fulham ,makipa wote huwa wanataka kutuonesha tulikosea kuwaacha ,hata last season mech zote za Villa ,Martinez alitusumbua Sana,

Kipa ambaye Arteta aliandamwa Sana kumuuza nadhan kuliko mnavyomuandana kwa kumleta Kai alikuwa Martinez ,nilitetea Sana hili Jambo ,mwisho Martinez watu walimsahau na Martinez aliweka chuki kwa arsenal mpaka kesho ili Hali huyo huyo Arteta ndiye alimpa nafasi baada ya kukaa miaka 10 Arsenal na hukuwahi kuthaminiwa Zaid ya mikopo na kuwa 3 Rd choice

Hata Leno Kuna shit aliziongea ,

Kwasasa una David Raya na Rams ,top GK , Leno hawez kukaa meza moja na hao jamaa

I wish nimuone Raya Jumapili
 
Mimi nimezungumzia General
Arteta Leo akiwa mazoezini,halafu anatokea mtu mmoja mla mihogo yupo ikwiriri anataka Mikel apange kwa kumsikiliza yeye

anakwambia Arteta panga hivi panga vile

Hao wachezaji uliwasajili wewe
Wee jizime data tu.. Does this look like 'General'?

Mimi nipo hapa ukitaka tuendelee sina shida, it's up to you.
 
Arsenal and Manchester United's XI when everyone is fit and available.
20230830_190530.jpg
 
Unataka Vita na Mimi ? Njoo inbox ,kujibizana na wewe nikupoteza muda ,ukinitaka hata face to face njoo inbox nitakupa location
Wewe weka hapa mafumbo yako tuone what you got.. si umeanzisha vijembe vyako humu? Haya na tumalizie humu!
 
Bukayo Saka says captain, Martin Ødegaard has the highest footballing IQ he has seen.
 
Kama wewe jamaa kujibiwa Ni matumizi ya MB

Sijawahi ona mtu asiyeshughulisha ubongo kufikiri au kuchanganua mambo humu Jf Kama wewe

Upo tayari kunipinga Mimi hata kwenye ukweli ilimradi tu utetee ujinga

Yaani unaona aibu Chelsea kutaka swap deal na Smith

Maana utaumbuka ,sababu wiki zilizopita tukikwambia mudrky Ni flop wakutupwa ,ulipokuwa unamfananisha na Martinelli

Sasa hata kwa Smith Rowe ambaye Hana namba Arsenal hamfikii , means Mudrky hata sub Arsenal hawezi kukaa

Ila Sasa kuficha aibu unaona Bora unishambulie Mimi Mara kuwaita watu chawa ,ilimradi tu

View attachment 2733741
Kwa hiyo, hiyo ndiyo reliable source kwako?
 
Back
Top Bottom