Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta Leo akiwa mazoezini,halafu anatokea mtu mmoja mla mihogo yupo ikwiriri anataka Mikel apange kwa kumsikiliza yeye


anakwambia Arteta panga hivi panga vile

Hao wachezaji uliwasajili wewe

Je unajua wachezaji hucheza kutokana na mfumo

Ukitaka kujua Hilo kaangalie sajili za Ten egg na anachocheza

20230830_175324.jpg
 
Like wewe na wengine kunizungumzia Mimi

Ukiona nakukera usihangaike na Mimi , Tena Kama sikosei wewe Ni mmoja wapo kule jukwaa la manjesta ulidai Anthony masebene Ni mchezaji mzuri

Yaan unakereka kujizungumzia Mimi, ila kuzungumziwa hukereki

So ukiona nakukera usihangaike na Mimi ,
Daaahhh kwa hio umemmind mshikaji kisa kusema tu Anthony masebene Ni mchezaji mzuri?
Masingeli punguza wivu kwa winga letu la boli Antony Matheus dos Santos




#Arsenyo Kondoo
#Harvez Kiatu
Screenshot_20230103_113902.jpg
 
Daaahhh kwa hio umemmind mshikaji kisa kusema tu Anthony masebene Ni mchezaji mzuri?
Masingeli punguza wivu kwa winga letu la boli Antony Matheus dos Santos




#Arsenyo Kondoo
#Harvez KiatuView attachment 2733762
Sijamaimd mkuu mm nawekaga kumbukumbu sawa ,maana most ya fans humu wengi Wana uwezo mdogo,

Huwa Kuna muda nabaki nacheka tu,
 
Sijampiga marufuku mtu asee usinipakazie

Nilimpiga marufuku jamaa mmoja mamluki anasema yeye Ni Newcastle kahama Arsenal, halafu hana hoja


Mimi kwa hapa bongo nakaa na Ambangile , wewe mwenyewe unalijua Hilo


Tatizo humu Jf fata upepo wengi

Wewe mwenyewe shahidi mangapi niliwaambia kule jukwaan kwenu Leo mnaona aibu mmebaki mnamsifia 7hag kwa unafiki

Juz mashabiki wa manjesta wamemuandama Sana Ambangile wakamchukia sababu amesema 7hag Hana Talent ID,Hana playing style, hajui kusajili ,hizi hoja nilijadiliana nae mwaka Jana ,akasema ni kweli ngoja ampe muda 7hag, Sasa hivi mashabiki wa manjesta wanamchukia


Hapa bongo makanjanja wengi , wachambuzi nguli wachache

Usione humu naenda kinyume na 90% Ni sababu wengi uwezo wa kufikiri na kuchanganua mdogo

Nakupa


Mtu anakwambia mudrky Ni zaidi ya Martinelli,Tena anabisha ukimpa fact anasema analazimishwa kukubali

Haya Arsenal wamekataa swap na Mudrky kwa mchezaji ambaye ni sub ,means huyo mudrky hafai hata kukaa sub Arsenal

Huo Ni mfano tu ipo mingi
daaahhhh aiseee sawa Pundit letu la taifa, mimi mwenyewe hua nakukubali kimyakimya, ila Masebene ukipunguza udikteta na Unazi nakuona kabisa una kitu utafika mbali.
 
daaahhhh aiseee sawa Pundit letu la taifa, mimi mwenyewe hua nakukubali kimyakimya, ila Masebene ukipunguza udikteta na Unazi nakuona kabisa una kitu utafika mbali.
Sina udikteta mkuu , most of our fan base haijui soka ,

Ulishawauliza waliokuwa wanasema Øde hafai leo wanasemaje?

Last season hapa hapa Trossard alikataliwa Leo hao hao wanalilia awe anaanza

Jesus usajili wake ulipingwa Sana humu ,Leo hao hao wanataka asikosekane


Mimi sijali kuwa against 100% na fan base inayoemdeshwa kwa mihemko

Kwasasa siwanamuandama Kai , muda Ni hakimu watakuja kumuimba humu.humu


Kuwa Kama JPM , usipende kuendeshwa na makelele ya wengi, simamia unachoamini ,watu Kama sisi mnatuita madikteta
 
Ww hujui kitu mkuu...hujui...ulikuwa unamsifia sana Mount sasahv povu linakutoka kama lote kumlaumu mwamba bila kukubali tatizo ni 7 hag a.k.a baba ubaya..yule ndo shida pale
Yule double Agent hana baya, kazi yake kubwa aliyopewa na Sheikh Jassim pale Man Utd ni kuhakikisha anawataabisha mashabiki mpaka wamng'oe Glazzer.
 
I’ve not seen a player in world football adapting to the lone #6 role as quickly as Declan Rice.
 
Emile Smith Rowe:

"If Arsenal want me for the rest of my career, Then i am going to stay here Forever"

I WILL NEVER GIVE UP ON HIM
20230830_181324.jpg
 
Hatuna injury jaman ukimtoa Timber

Manjesta ajiandae tuView attachment 2733767
Safi kabisa maana sisi mashabiki wa United hatutaki mue na sababu yoyote ya kujitetea baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko kutoka kwa vijana machachari wa 10 Hag.
Ila Arsenyau hua hamkosagi sababu za kujitetea, hio Jumapili mkifungwa lawama zote atabebeshwa refa pamoja na VAR ila mashabiki wachache wa Arsenal wenye kujielewa wanajua kabisa tatizo hapo ni Arteta na huyo Kai wake.
 
Safi kabisa maana sisi mashabiki wa United hatutaki mue na sababu yoyote ya kujitetea baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko kutoka kwa vijana machachari wa 10 Hag.
Ila Arsenyau hua hamkosagi sababu za kujitetea, hio Jumapili mkifungwa lawama zote atabebeshwa refa pamoja na VAR ila mashabiki wachache wa Arsenal wenye kujielewa wanajua kabisa tatizo hapo ni Arteta na huyo Kai wake.
Mkuu usije tu kubadili maneno

Sisi tunataka tuoneshane makali

Kwa LCM tuna wachezaj wengi sio lazima aanze Kai ,

My lineup ninayoitaka Jumapili halafu nione mnatokaje hii hapa

4-3-3 ya double 8

................Rams .............
White Saliba Magalhaes Zinny

Ødegaard Partey Rice

Saka Jesus Martinelli


Mkuu half time Kama sijakupiga goli tatu Basi uchawi upo ,

Kikos chako kitakuwa nyuma na

Onana

Bisaka Lindelufu Shotii dalot


Sasa jiulize Dalot vs Saka,
 
From @SamiMokbel81_DM:

Nicolas Pepe’s career at Arsenal is effectively over.

It has been for some time now. Arteta is open to letting him leave and the club are actively trying to find him a club.


His chances of game time this season are virtually zero, if he stays.
 
Back
Top Bottom