Vijana wa Sasa hivi wanakuambia 'unyama mwingi'Emile Smith-Rowe has NO interest in joining Chelsea!
The midfielder wants game time & joining Chelsea would do nothing for his career.
Smith-Rowe to Chelsea
#AFC

@FabrizioRomano:Kwa hiyo ile mechi ya City ulijioma na wewe umecheza..City ni kama alikuwa kwenye uwanja wa mazoezi.Si amecheza na city hata wiki mbili hazijapita
Strong opponent gani ? Manjesta au chelkenge?
Ukimtoa city Kuna timu gan ya maana EPL kwa Sasa
Partey sio namba 6, hajawahi kuwa namba 6, ni kiburi cha Mikel tu kuforce vitu visivyowezekana but i thank God Arteta karudi kwenye basics, Guardiola hawezi mchezesha Partey namba 6 kamwe, Arsenal tutachukua EPL / UCL huku Declan Rice akiwa namba sita afu nitakukumbusha hizi comment zako.Daah wewe jamaa, unaji overdose kwenye kuufikilia mpira na matumizi ya Mchezaji.
Rice kwenye namba 6
Partey kwenye namba 6
Wewe unaenda na Rice?? Tutapigwa goli mpaka tuchanganyikiwe na ishajionyesha Rice bado haiwezi 6 hapo hadi mwakani
kwa akili za jinga Arteta linaweza kukubali kumuuza RoweYou better shut ya mouth bruv! kabla ya Mikel ulikuwa huna hata ndoto za kuwaza big trophies. Sasa hiyo jeuri unaitoa wapi mzee au kuna kitu kichwani hakijakaa sawa?Huyu jamaa tumempa support since 2019. Akizingua msimu huu, aliwe kichwa tu. We need trophies.
Wewe nilishakuweka kundi la wasio na akili timamuKwa hiyo ile mechi ya City ulijioma na wewe umecheza..City ni kama alikuwa kwenye uwanja wa mazoezi.
Wanachekesha Sana hawa jamaaYou better shut ya mouth bruv! kabla ya Mikel ulikuwa huna hata ndoto za kuwaza big trophies. Sasa hiyo jeuri unaitoa wapi mzee au kuna kitu kichwani hakijakaa sawa?
Wazoee ,hawa hawa walikuwa wanasema Fabio Vieira hafai ,na bla blaa kibaoYou better shut ya mouth bruv! kabla ya Mikel ulikuwa huna hata ndoto za kuwaza big trophies. Sasa hiyo jeuri unaitoa wapi mzee au kuna kitu kichwani hakijakaa sawa?


Arteta ana kitu, unadhani the kroenkes wajinga kuwekeza pesa na muda kwa Mikel? wale ni wamarekani akili nyingi, mbona hawakufanya hivyo kwa unai emery! tajiri haweki hela kwa fala, tajiri anawekeza hela kwa Guardiola sio kwa Ole sosha.Wanachekesha Sana hawa jamaa
Kabla ya mikel hata Ndoto tu za kugombea top 4 hazikuwepo ,leo wanajifanya wajuaji wa kumpangia had Nan acheze nan asicheze
Kipind yupo Emery hawakuwepo humu waliikimbia timu
Sasa hivi Mikel kaaminiwa na anapewa pesa ,wao ndio wajuaji Sasa
Hivi wanadhan Stan anatoa pesa tu, ni sababu amemuamin Mikel
Eti umfukuze Arteta, halafu tuletewe makocha Kama 7hag ,had leo manjesta hawajulikani wanacheza style ganiArteta ana kitu, unadhani the kroenkes wajinga kuwekeza pesa na muda kwa Mikel? wale ni wamarekani akili nyingi, mbona hawakufanya hivyo kwa unai emery! tajiri haweki hela kwa fala, tajiri anawekeza hela kwa Guardiola sio kwa Ole sosha.
Mikel is genius, anaunda chama la kusumbuana na Man City kwa muda mrefu, Pep is genius too, binafsi ukimuondoa Mikel labda kama utamleta RDZ kwa mbali naweza kukufikiria but not otherwise.Eti umfukuze Arteta, halafu tuletewe makocha Kama 7hag ,had leo manjesta hawajulikani wanacheza style gani
Yale Yale ya Unai Emery, miaka miwili kila siku kikos kipya ,hana first eleven, Hana playing style
Mashabiki wakaja Emirates na mabango NO TACTICS NO FORMATION
Kuna watu huwa nawaambia Mikel atakaa Arsenal miaka 20 plus hawaamini
Arsenal utatimuliwa ukileta mpira Kama ule wa 7hag au ule wa Emery
Kocha gan ukimfukuza Arteta umlete Arsenal Sasa hivi ,