hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Kama wewe jamaa kujibiwa Ni matumizi ya MBkweli kabisa kuna ID huwa anajisuport mwenyewe mana unakuta mtu anamsaport kw kitu cha kipuuzi, kitu hata mtoto mdogo hawez kusuport, unajiuliza anaesuport zimetimia kweli??!
Sijawahi ona mtu asiyeshughulisha ubongo kufikiri au kuchanganua mambo humu Jf Kama wewe
Upo tayari kunipinga Mimi hata kwenye ukweli ilimradi tu utetee ujinga
Yaani unaona aibu Chelsea kutaka swap deal na Smith
Maana utaumbuka ,sababu wiki zilizopita tukikwambia mudrky Ni flop wakutupwa ,ulipokuwa unamfananisha na Martinelli
Sasa hata kwa Smith Rowe ambaye Hana namba Arsenal hamfikii , means Mudrky hata sub Arsenal hawezi kukaa
Ila Sasa kuficha aibu unaona Bora unishambulie Mimi Mara kuwaita watu chawa ,ilimradi tu

|| Arsenal are reportedly interested in signing Benfica’s 25yo RB, Alexander Bah. Bah can also play on both wings and CF [Via - @TipsBladet].
