Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimemwambia mwenzio aachane na blogs na ww umerudia yaleyale.

Tunaomba basi picha yake akiwa na hio uefa super cup.
Akiku2mia tu mkuu unitag, na sina uhakika hata kama kwnye line up kama alikwepo.
 
Huyo shabiki wa manjesta ,wanakwambia 7hag Ni kocha Bora wakati mwaka wa 2 Hana playing style,anasajili kwa kubahatisha

Mimi siwakopeshi nawachana ,7hag hana uwezo wa kudevelop talent yoyote na toka afike manjesta Hakuna talent aliyo idevelop ,Zaid analalamika wachezaji wabovu

Anasajili yeye Ni wabovu zaidi
Laana hii 🤣😁
FB_IMG_16927378332647624.jpg
 
Umewahi kuona Rashford kafunga 30 goals kwa msimu??

Arteta hatokuja kudevelop mtu kufika level hii.

Mna bahati Maino kaumia, huyu alikua anakuja kuonyesha nini maana ya Rodri- pro max. Tusibishane hadi arudi
Eti maino acha ujinga

Rashford ameanza kufanya vizuri na kurudi default settings toka kwa Mourinho

Mwaka Jana Rashford alikuwa kwenye Form ya maisha ,kwasasa amerud kwenye default settings,tegemea Sasa kuona sura halisi ya tapeli 7hag

7hag kashamkuta Rashford ana cheza hivo hivo

7hag hawez develop talent Kama hizi

Hawez tengeneza a world class RW and LW wingers in the world

Ndio Maana tunaona anatumia €100m anasajili tapeli yule mpanda mpira
20230830_074352.jpg
 
Misimu mitano ipi , Arteta kaja 2019 December

7hag kazoea makombe gani , hivi unajua 7hag Ni umri wa kina pep Guardiola lakin mafanikio yake ni Ajax ambayo hata mgunda ukimpa Ajax anabeba Makombe

7hag Hana tofauti na David Moyes

Yaan unamsifia kufika nusu fainal UCL

Kuna Dimateo huyo alilibeba kabisa

Kuna Avram Grant anawafundisha kina Chama na Musonda hapo Zambia , yeye alifika Fainal kabisa

7hag msimu wa 2 katumia £400m lakin anaelekea kutimuliwa soon
2019/20
2020/21
2021/22
2022/23
2023/24

Arteta ni mkongwe Epl mafanikio yake ni Bottle na long waited Champions League spot after 7 years

Yani First eleven ya Arsenal wamezidiwa appearance za Champions League na Mbwana Samatta.
 
Umewahi kuona Rashford kafunga 30 goals kwa msimu??

Arteta hatokuja kudevelop mtu kufika level hii.

Mna bahati Maino kaumia, huyu alikua anakuja kuonyesha nini maana ya Rodri- pro max. Tusibishane hadi arudi
Kashindwa kumdevelop Sancho ambaye alikuwa ana fanya vzr BVB, kashindwa kumdevelop Elanga , Mactominay,Fred ,

Hata Ganacho tuliwaambia kwa huyo Dutch David Moyes hawez kwenda popote ,

Wewe unamuwaza maino wakati had Sasa timu hata kupiga pass 5 kwa usahihi haiwezi
 
2019/20
2020/21
2021/22
2022/23
2023/24

Arteta ni mkongwe Epl mafanikio yake ni Bottle na long waited Champions League spot after 7 years

Yani First eleven ya Arsenal wamezidiwa appearance za Champions League na Mbwana Samatta.
Ndio mnadanganyanya na wenzenu Arteta ana misimu mitano ili kuficha 7hag aonekane ana Mwaka mmoja EPL

Hii haiondoi ukweli pale kocha wenu ni tapeli

Anaenda kununua hii mutu kwa €100m halafu lawama anapewa graza
20230830_105408.jpg
 
Eti maino acha ujinga

Rashford ameanza kufanya vizuri na kurudi default settings toka kwa Mourinho

Mwaka Jana Rashford alikuwa kwenye Form ya maisha ,kwasasa amerud kwenye default settings,tegemea Sasa kuona sura halisi ya tapeli 7hag

7hag kashamkuta Rashford ana cheza hivo hivo

7hag hawez develop talent Kama hizi

Hawez tengeneza a world class RW and LW wingers in the world

Ndio Maana tunaona anatumia €100m anasajili tapeli yule mpanda mpiraView attachment 2734024
Huyo saka kashika tuzo za watu, Waingereza wanabebana.

Young player of the season iko wazi ni Halaand

Best RW ni Mo Salah
 
Spana ulizopiga jukwaa la nyumbu, nikawa nasoma huku nacheka
Mkuu ongeza ulinzi, nyumbu wanakuwinda Sana Nina uhakika huo
Waombe Sana Jumapili tusishinde ,nitawapiga spana mpaka jukwaa lao lifungiwe
 
Huyo saka kashika tuzo za watu, Waingereza wanabebana.

Young player of the season iko wazi ni Halaand

Best RW ni Mo Salah
Eti wanabebana

Sikia 7hag a Dutch David Moyes Erik 7 Egg Hana uwezo wa kutengeneza talent Kama hii

Mikel anamuangalia saka kutoka beki anamuona anaenda kuwa RW Bora duniani

7hag angempoteza

Tuliona anamuondoa CR7 anamleta mpwa wake Weghost anaondoka manjesta na goli 0
 
Ndio mnadanganyanya na wenzenu Arteta ana misimu mitano ili kuficha 7hag aonekane ana Mwaka mmoja EPL

Hii haiondoi ukweli pale kocha wenu ni tapeli

Anaenda kununua hii mutu kwa €100m halafu lawama anapewa grazaView attachment 2734026
Ramsdale anamuogopa huyu,, Huyu ameanza kucheza brazil Martinelli akiwa trial Man u.
 
Waombe Sana Jumapili tusishinde ,nitawapiga spana mpaka jukwaa lao lifungiwe
Draw kwao ni Ushindi
Tukiwapiga chini ya 3 kwao ni Ushindi

Inabidi tuwabamize kuanzia 3
Possession 70 kwa 30
Pass 900+
Shoots on target 20+
Msako wa pusha alieficha bangi

Yani kwa kifupi wateseke
 
Eti wanabebana

Sikia 7hag a Dutch David Moyes Erik 7 Egg Hana uwezo wa kutengeneza talent Kama hii

Mikel anamuangalia saka kutoka beki anamuona anaenda kuwa RW Bora duniani

7hag angempoteza

Tuliona anamuondoa CR7 anamleta mpwa wake Weghost anaondoka manjesta na goli 0
Saka ni winger kitambo tokea Academy na kwa Unai,, Genius wa mchongo arteta ndo alimpeleka left back, Bila kufokewa na mabosi angepoteza kipaji cha dogo.
 
Saka ni winger kitambo tokea Academy na kwa Unai,, Genius wa mchongo arteta ndo alimpeleka left back, Bila kufokewa na mabosi angepoteza kipaji cha dogo.
Uliza ufundishwe

Saka alikuwa LB tokea academy, sisi tunaifatilia Arsenal had U16

Saka amecheza LB kabla ya Arteta, na mechi 2 Kama LW ,

Mech ya kwanza anacheza RW ni vs Liverpool community shield Wembley anatoa Assist kwa Auba

Narudia 7hag hawez ku develop talent Kama hizi maisha

Msimu wa 2 huu timu haiwez kupiga pass 10 kwa usahihi

20230830_074352.jpg
 
Back
Top Bottom