Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,071
- 306
There are currently 29 users browsing this thread. (14 members and 15 guests)
Nasubir tamko lako......
Nasubir tamko lako......
inaonekana Liverpool wanatafuta draw tu, hopeless tactics!
Jamaa mvivu tu.
Ukizingatia Arsenal walivyo leo, ningetegemea Liverpool wawe more attacking with quality (Suarez) na sio power (Kuyt na Carroll)
We want suarez..............Frimpong out arsenal vijana wenu umewatoa wapi?
Yaani hii timu yenu ikutane na timu ka Man City ka mlivo na mnachochea sasa hakyanan mnaopigwa mkono.
goli la ajabu kinomaa
Hahaha! kuna MAFIOSO wametoa BAHASHA zenye MPUNGA kwa ramsey
unaweza kuona Liverpool wamebadilika baada ya Suarez na Meireles kuingia.
Next game ni ManU VS Arsenal @ Old Trafford,Mr Bean inabidi aangalie isije ikawa balaa zaidi
2-0 khe khe kheeeeeeeeeeeee
Si amtie ndan Chamakh aje kupiga vichwa?
game over, poleni kwa kichapo!
AW yuko wap?, simwon?
...weee Questt embu tyafuta hii mtu na Wacha Boy na yule kijana anajiita Mbu...nasikia wanaenda kuji 'mkwawa'....
Yule kware wa hili jamvi (wacha yupo wapi leo??
kwekwekwekweweweweekkwekwekwekwekeweweweeeeeeeeee
Tumsubiri Mzee wa khe khe khe atasemaje, Kama kawaida wakati wa mechi anaingia mitini
"Yule" jamaa huwa atokei hapa mpaka aone ameshinda, mwoga kweli....khe khe kheeeeeeeeeeee!!!!
Poleni sana mashabiki wote wa Arsenal football club ...............na karibuni sana OLDTRAFFORD shukurani kwa Questt,AW,Kweli and Co kwa kutukaribisha jamvini.
Wadau isije onekana nimekimbia.... kazi nayo ni ya msingi.... I gat some fish to fry down somewhere..... thanx for ur being...... i appreciate.....GOONER 4 LYF!!!!!
Wakuu i have to be honest
Leo kwa mara ya kwanza nimeanza kumuelewa Wenger.... I never expected Arsenal kuwa na watoto wengi vile na nadhani wana very high standard kulinganisha na bei za akina carrol, henderson au downing... Yes we won but once again, it can be proven kwamba english players are trash ni hadi suarez na raul walipoingia ndio gemu ikachenji, tena after a red card
I didnt want to say a word lakini kuna ka-dogo kanaitwa wacha, kana kelele kuliko kware na kuna wakati kanakera sana
Let enjoy soccer harmoniously
Leo we won but liverpool is still not convincing and arsenal wana watoto wazuri mno but their goalie is one of the best
Poleni watani, tumeondoa gundu la zaidi ya miaka 10 na its just game two
he is not a sportsman
coz game is about winning and losing and he can only take one
Atasema Chelsea na Manchester wametoa baasha kwa Ramsey ajifunge goli la kwanza.....kazi itakuwa kudefend hilo la pili.
kawa bubu leo
kwekwekwekwekwekweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Arsenal kwishneni taabu itaanza pale yule mzee wa kheee keeee atakapokuja na visingizio luluki alivyo kichaa anaweza kudai Man wametoa bahasha kwa Ramsey.
Dogo mkali sana atulize tu uhuni kidogo.
Campbell anatisha na chamberlain plus Ryo nae wana future nzuri.
Tunaitaji tu usajili wa beki pale nyuma na play maker tuwe powa, lakini hata hao wawili tunaonekana tunaomba mengi kwa Wenger. Bado mda upo anatafuta quality. Naona kwa Mata kakimbia bei Chelsea wameenda kufanya kweli.
There are currently 29 users browsing this thread. (14 members and 15 guests)
Nasubir tamko lako......
Mkuu wala hatutishiki kwa soka lililochezwa, Timu tunayo ni jambo la wachezaji kuzoeana tu hasa pale katikati. Nafikiri umeona mambo ya T5 ambaye ni man of the match kwa sisi tuliouona mpira pale kiwanjani. khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeee na bado tuna chipukizi kibao ngoja mwezi moja wazoeane mtakoma ..... ...... ...... ...... mtajua kilichomtoa kanga manyoya.
It explains a lot about your team when a defender is a man of the match! No wonder you sound so humble today, you got owned in your own backyard by the very average Liverpool side that never won there since 2000!
Nimekuja tu kutoa rambirambi kwa wafiwa,pole sama ma stress zinaanza mapema sana.....guys mumuondoe kocha aje mwingine maana sio mtacheza mpira wa fashion bila matokeo mpaka lini???
Wacha kuwa na wasi wasi na timu yetu angalia ya kwako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu wala hatutishiki kwa soka lililochezwa, Timu tunayo ni jambo la wachezaji kuzoeana tu hasa pale katikati. Nafikiri umeona mambo ya T5 ambaye ni man of the match kwa sisi tuliouona mpira pale kiwanjani. khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeee na bado tuna chipukizi kibao ngoja mwezi moja wazoeane mtakoma ..... ...... ...... ...... mtajua kilichomtoa kanga manyoya.
Wacha kelele wewe lini ulikuwa kocha?
Usiwe na shaka tumepoteza two games so far.
Mkuu tulikuwa na miadi? Au leo ndio raha yako imefika kifani? Hii ni dalili ya kuonyesha kwamba hulali usingizi unawaota Gunners kila ukiamka unaona Gunners ndio timu pekee ya kukukosesha raha khe khe kheeeeeeeeeeeee badili timu. arsena wapo 125 years na wataendelea kuwepo kutokana na misingi imara inayowekwa siyo timu yako ambayo madeni hadi chooni. karibu Emirates uone soka Wacha kulialia nyau.
At least you dare show your bloody face. bila kubebwa leo mngekuwa bado mnahesabu miaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo Emirates basi next game tushangilie pamoja. au nialike nije anfield kwenye reverse game unasemaje?
The name is Wacha/Wacha1 wacha ngebe! labda mtafute mzee wa udaku. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nikuogope wewe unayefuga Bundi kwenye cow shed! Phew khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha ngebe wewe hii ni EPL au hufahamu, umeanza ushabiki lini?
Wasikutishe hawa mkuu ni vibaka tu hawajui mpira wengi wao wameanza kuona vikombe ukubwani maisha yao yote hawakutegemea kushinda kitu ndio sababu unaona wanaweweseka.
Wacha filimbi wewe EPL 21 years and counting chacha mafikiri kwa mpira wa kubebwa mtafika wapi? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee shukuru bahasha.
Are you? Can you prove that au kwa sababu timu yako kila siku ni kilio kama si kubebwa? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee i know the facts I give you go into your nervous system ndio maana unapata tabu unataka kusifiwa tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kulikuwa na offside pale au hukuona , ofcourse chelsick fan mafioso what do you expect.
Shut your filthy mouth khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bila shaka hukuona mpira shukuru JF bila hivyo ungepata wapi habari khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee it another different matter to others.
Ondoa shaka mkuu mambo sio mabaya kama mahasidi wetu wanavyotaka tuamini.
For Peas of ant who does not know football and by shear luck, one mafioso by the name Roman O ma Brovich showed a single light, and you come here to pretend you know soccer, are you serious? The only game you enjoyed is when you've reached maturity, then how do you know the ingredients of a team? I wonder? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Arsenal humu tunawapenda ila Wacha anawaharibia tehtehteh, Wacha naona unajibu kwa ubishi kama Wenger anavyokuwa mbishi anabaki kusema Arsenal wadogo kwani kasikia EPL kumeandikwa Under 16 team no wanaandika Arsenal.. akifanya mchezo Arsenal itakuwa Academy ya watoto timu kubwa kujinunulia kama zilivyo Lyon na timu za france huko.... itabaki kombe la CL kulifukuzia tu. Wacha kama anavyosema Kheeeeeeeeeeee! Kheeeeeeeeeeeeeeeee! Kheeeeeeeeeeeeee.