Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenalsplash2_1363044a.jpg
 
Leo imekula kwetu . Anyway tumeaozea miaka mingi tunaanza vizuri tunamalizia vibaya . Ni mapema mno kwa matokeo ya leo watu kuhitimisha na ku collcude msimu wa wa timu hii bora ya the gunners utakvyokuwa. .

Anyway tujipe pole
 
Kumbe na magoli ya kujifunga nayo ni magoli ya kuotea! Thats great

Kama hukuona mpira shauri yako, goli liliingia wakati uotezi umetokea haijalishi nani kafunga. Unafahamu mpira au unahadithiwa kwenye luninga? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Aaah......Ngoja nijikalie kimya tu......

Ukiongea sana unaonekana ni msaliti/usiyeipenda timu....

Last edited by a moderator:
Kama hukuona mpira shauri yako, goli liliingia wakati uotezi umetokea haijalishi nani kafunga. Unafahamu mpira au unahadithiwa kwenye luninga? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Chukua breki kidogo usije kupata pressure bure.
i1wmjp.jpg
 
Eqlypz

Labda huwezi kuelewa kwa nini siwezi kupata hiyo pressure unayoisema. EPL 38 matches tumecheza mechi mbili mnaweweseka namna hii. Yaani kama ungefahamu Arsenal wapo katika hali gani usingekuwa hata unaongea ngonjera ambazo hazina kichwa wala miguu. Enjoy the game, dhuluma siku zote hailipi malipo hapa hapa duniani. Magoli ya Loserfools ni ya kuotea ndio sababu tunahitaji Technology inshallah next sesson wataweka.

Ninachoona hapa ni wanoko wa Manure na Chelsick kuishambulia Arsenal Why? Kwa sababu ndio wababe wenu last games zote tumewafunga na hamna raha kila kukicha mnaiandama Arsenal lakini ukweli utaonekana tu wala usiwe na shaka msimu bado. Our next priority ni mid week then tutakuja kwenu ... ..... ...... .... be happy while it lasts.

BTW leo tulikuwa na wachezaji nane ambao sio regular uwanjani na umeona mziki ulivyoluwa T5 kama kawaida yake.

poleni poleni sana, mwaka huu mtamtimua tu huyu babu.

On your dreams boy.
 
Arsenal is a done deal unless Whinger pulls off some last-minute super signings.
 
Arsenal is a done deal unless Whinger pulls off some last-minute super signings.

Cheers mate! I just don't understand why should we labour to win this type of match! Anyway, this why EPL is very exciting!

To be honest Chelsea hatuna quality wingers kama ilivyokuwa kipindi cha Robben na Duff....playmaker.?! Lampard sio playmaker, ni mzuri kumaliza kuliko kutengeneza.

Then you can be a good adviser to prof. khe khe khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chuki na Wivu kama wa kike. Kuwa na wasi wasi na meerkat wenu si ulikuwa unalialia leo.
 
Mimi shabiki wa Arsenal. Tuwache ushabiki na tutoe michango ya maana. AW siyo Manager mzuri coz managers need to be flexible espeacially katika world of competition. The man is too rigid akiamini katika policies zake ambazo proved futile! Tumechoka for six years sera gani hizi. Kipindi kile cha unbeaten kwani wachezaji wote walitoka katika academy yetu tuu na je timu zingine hawana madogo katika academy. Hawana uzoefu wala hawapo fit kwa EPL wanalazimishwa maajabu. Fans wa arsn wa London katika riots wangemchapa hiki kibabu aache politics katika soka
 
[TABLE="class: selslip"]
[TR]
[TR]
[TD="class: a"] [/TD]
[TD="class: b"]Arsene Wenger Next Manager To Go. -
[/TD]
[TD="class: c num"]7/1[/TD]
[/TR]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tatizo sio Wenger! Bodi ya Arsenal ndio inamatatizo!
Gadiz ndiye chanzo cha matatizo yote!
 
Back
Top Bottom