mwanatanu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 851
- 127
poleni poleni sana, mwaka huu mtamtimua tu huyu babu.
Babu na free ride yake kutoka kwa Dein hakuna tena sasa Babu Haambiliki ndio mwisho wake msimu huu....hii ni kweli mtakuja ona.
poleni poleni sana, mwaka huu mtamtimua tu huyu babu.
Kapuliziwa dawa ya RUNGUWapi MBU?
Mimi shabiki wa Arsenal. Tuwache ushabiki na tutoe michango ya maana. AW siyo Manager mzuri coz managers need to be flexible espeacially katika world of competition. The man is too rigid akiamini katika policies zake ambazo proved futile! Tumechoka for six years sera gani hizi. Kipindi kile cha unbeaten kwani wachezaji wote walitoka katika academy yetu tuu na je timu zingine hawana madogo katika academy. Hawana uzoefu wala hawapo fit kwa EPL wanalazimishwa maajabu. Fans wa arsn wa London katika riots wangemchapa hiki kibabu aache politics katika soka
Mbu, Wacha Arsene, GT, na Wenge Muica family yote... kama kule kwetu Mwanjelwa tunavyosemaGA..Mwipoleni jamani..
Wapi MBU?
Waungwana hii picha ilinivutia sana kutoka kwa mpiga picha wa Arsenal Stuart McFarlane, ilipigwa juzi kabla ya mechi ya Arsenal na Udinese.![]()
phewEqlypz
Labda huwezi kuelewa kwa nini siwezi kupata hiyo pressure unayoisema. EPL 38 matches tumecheza mechi mbili mnaweweseka namna hii. Yaani kama ungefahamu Arsenal wapo katika hali gani usingekuwa hata unaongea ngonjera ambazo hazina kichwa wala miguu. Enjoy the game, dhuluma siku zote hailipi malipo hapa hapa duniani. Magoli ya Loserfools ni ya kuotea ndio sababu tunahitaji Technology inshallah next sesson wataweka.
Ninachoona hapa ni wanoko wa Manure na Chelsick kuishambulia Arsenal Why? Kwa sababu ndio wababe wenu last games zote tumewafunga na hamna raha kila kukicha mnaiandama Arsenal lakini ukweli utaonekana tu wala usiwe na shaka msimu bado. Our next priority ni mid week then tutakuja kwenu ... ..... ...... .... be happy while it lasts.
BTW leo tulikuwa na wachezaji nane ambao sio regular uwanjani na umeona mziki ulivyoluwa T5 kama kawaida yake.
On your dreams boy.
this is too lowKhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio wivu unaowasumbua wanoko maana kila tunachofanya wanakionea wivu hadi mwisho wa siku wanakubali wenyewe. Karibu sana kaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. vipi mmeisha-float shares Singapura, na nyinyi mjenge kifaa? Loserfools michoro yote ile na ukelele wameweka kwenye makabrasha, Chelsick mafioso mkuu kakataa kutoa mpunga council wameamua kujenga nyumba pale.
Mbu, Wacha Arsene, GT, na Wenge Muica family yote... kama kule kwetu Mwanjelwa tunavyosemaGA..Mwipoleni jamani..
he is mature enough to know whena and what to say anythingWapi MBU?
Pumba, lini wewe ulikuwa kocha Wacha ngebe we shabikia tu na uone vinaelea. absolutely rubbish.
Nafikiri matokeo tumeyaona mkuu.Dah....
...Be positive kamanda,...mawimbi ya hapa na pale yasikutie hofu ukataka jitosa baharini kwenye papa na nyangumi wakali!
My only concern is Injury list;
Gibbs, Traore [our only left backs] - Out for this game....
TV5 'Verminator', Djourou [Centre Back] ... hawa wapo 50:50,...Kos is ok, Squillaci dah!?
Wilshere, Diaby [ Defensive Midfielders] - Song is also Out for this game -Suspended.
Rosicky [Attacking midfield] - nawasiwasi kama Nasri atachezeshwa...He's not right in the head!
Theo ana nafuu, he may start from the bench... -Gervinho will be missed - Suspended.
Hawa Physio, au fitness Coaches wa Arsenal na mashaka nao bana, ....mbona majeruhi wengi kila msimu?
![]()
"That's always an option open to him because it could come to a stage when he will say,....Guys, lets back Our Gaffer jamani....Wenger Ball ndio Identity yetu. Akiondoka huyu hakuna replacement ya maana itayoletwa na Board hii hii tunayoipigia kelele hapa imshawishi Wenger alete wachezaji 1st Class. Wenger kaamua kufanya usajili kimya kimya,....kila mchezaji anayemtaja kuvutiwa nae, Utawaona Man City na Chelsea mbio wanakwenda wasajili....lol!
'Well, I have had enough.'" - David Dein
Imekuwa kama mchezo wa kitoto, ...wanasikilizia Wenger atamtaja nani ili wamsajili japo kwenye Squad zao hawajui ata fit wapi....Usajili wa Torres mmeona ulivyo disrupt Chelsea msimu uliopita. Sasa eti wanamfukuzia MATA...
Mnadhani Board hii itataka kubishana na demands za Manager kama Mourinho? The very same board iliyokuwa chanzo cha
irreconciable differences na David Dein na hata Lady Nina Bracewell-Smith?![]()
"I agree that current board should all go," Bracewell-Smith said on Twitter. "They are passe.
Have nothing more to give to the club at all."
For a starter hatuhitaji uwanja kwa sababu our stadium is ranked 23rd in the world na wa kwenu ni 61st FACT! And its good as it is.Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio wivu unaowasumbua wanoko maana kila tunachofanya wanakionea wivu hadi mwisho wa siku wanakubali wenyewe. Karibu sana kaka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. vipi mmeisha-float shares Singapura, na nyinyi mjenge kifaa? Loserfools michoro yote ile na ukelele wameweka kwenye makabrasha, Chelsick mafioso mkuu kakataa kutoa mpunga council wameamua kujenga nyumba pale.