Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mara ya kwanza Liverpool wanatufunga nyumbani, meseji tosha kwa Wenger, timu nyepesi, mechi inayofuata ManU tuna majeruhi, suspensions na kama wenger hajaenda kusajili sasa sitomuelewa kabisaa.
 
wana JF na log Off .. tutaonana Kesho...! DUH!!!! :angry:
 
Sijui Daglish alikuwa anasubiri nini kumuingiza Suarez
 
AW yuko wap?, simwon?
...weee Questt embu tyafuta hii mtu na Wacha Boy na yule kijana anajiita Mbu...nasikia wanaenda kuji 'mkwawa'....
 
2-0 ambazo hazina kujitetea.....yaani hapa tumezidiwa hakuna reason ya msingi ya kwa nini kwa jinsi tulivyocheza tuambulie hata DRAW.... well deserved Loss at home ground.... and next week the same shit will happen.... possibly kwenye CL mid week napo tia maji tia maji......
 
And now liverpool have a new record in emirates stadium ...................bravo liverpool!!!!
 
Kwa mara ya kwanza Liverpool wanatufunga nyumbani, meseji tosha kwa Wenger, timu nyepesi, mechi inayofuata ManU tuna majeruhi, suspensions na kama wenger hajaenda kusajili sasa sitomuelewa kabisaa.

Wenger atachokwambia ni kwamba injury nyingi na red card zimeua, zaidi ya hapo atasema kikosi chake kiko fine haitaji kusajili mpaka aone quality player.
 
AW yuko wap?, simwon?
...weee Questt embu tyafuta hii mtu na Wacha Boy na yule kijana anajiita Mbu...nasikia wanaenda kuji 'mkwawa'....

Jamaa wapo....wewe ndo huwaoni...Arsenal fanz huwa hatuna tendency ya kukimbia kama tukifungwa....... We r all here........ write it up bro!!!!!
 
2-0 ambazo hazina kujitetea.....yaani hapa tumezidiwa hakuna reason ya msingi ya kwa nini kwa jinsi tulivyocheza tuambulie hata DRAW.... well deserved Loss at home ground.... and next week the same shit will happen.... possibly kwenye CL mid week napo tia maji tia maji......

Weekend ijayo inabidi mzee akaazime wachezaji wengine reserve team manako bench kashalimaliza kw aupande wa beki.
 
Back
Top Bottom