Kudadaddeki beki ya asenol
goli la ajabu kinomaa
Beki wamefanya nini????????????? manda bana......
Amegoma shauri ya CAF cup kuingiliana na msimu na sio quality ama discipline.Ndio maana Ferguson amegoma kusajili wachezaji wa kiafrika angalia sasa Song,Gervinho na huyu Frimpong
Hahaha! kuna MAFIOSO wametoa BAHASHA zenye MPUNGA kwa ramsey
Hizi sub za Proffesa kazi kweli kweli Bendtner wanini? sasa tuhesabu tunacheza 9 na sio 10 tena