Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaha! ishu popa mkuu...niko vacation kjjn kwetu huku Sitimbi, so i had to drove 50Km to taoo kuja iwai game game yenu, nkafika late....
Ila aiseee awa ndugu zangu wanajua mpira kuliko AW, kuna kina Thomas Mulambo apa wanachambua mpira mm sina mbavu....hahaha! et AW anatumia Masab@&ri kusajili.

Kwahio ulikuwa unalazimisha nikusalimie hili utoe maneno ya kejeli sio?

Ndio maana nilikula bati lol.

Naona Fringpong na kiduku?, huyu mfaransa wa wilaya gan pale Paris?

Kwahio ulikuwa unalazimisha nikusalimie hili utoe maneno ya kejeli

Ndio maana nilikula bati lol.

Lol! apana mkuu wangu...m wee ndugu yangu sana, mama mmoja matumbo mbalimbal tu.

Namtafuta MBU simpat....namdai 'vyangu' yule kijana...ukimwona mfikishie salamu.

Back to the game: Agiza Blacklabel ushushie mapande ya Ashavin pale pembeni.

Arshavin?...mhh?, AW naomba unisaidie apo...kijana anacheza akili yake ikiwa Urusi au London?

Wenger kamwita Chamberlain super quality sasa si amuingize hapa. Angemtoa Arshavin dogo mzuri tu au Ryo.

I wish hata asingepangwa kwenye hii 1st 11......Eti he has the best scoring records against POOLZ..!!!! I wonder what the hell is he still doin in there...........

Is RAMSEY thinking he is playing alone???????? what a waste of ball?????

Khekheeeeeeeeeeee! Wengaaaaaaaaaaaaaa! utanyoa kipara safar hiii...nyambafu...bahili au unategemea wandaz.

Bora halikua GOLI koz lisingekua halali... Arshavin kasukuma kabisa......That was RUGBY and never football......

Back
Top Bottom