Taratibu mkuu, ndio kwanza ligi imeanza hiyo!
Hahahahahaha!! Nimeipenda sana hii, naweza kuitumia kwenye signature yangu?
Na hao quality player anaowaongelea ni watoto wa miaka 19? Kazii kweli-kweliWenger atachokwambia ni kwamba injury nyingi na red card zimeua, zaidi ya hapo atasema kikosi chake kiko fine haitaji kusajili mpaka aone quality player.
Yule kware wa hili jamvi (wacha yupo wapi leo??
kwekwekwekweweweweekkwekwekwekwekeweweweeeeeeeeee
Na hao quality player anaowaongelea ni watoto wa miaka 19? Kazii kweli-kweli
Ngoja aje toka huko atokako.......GAME OVER......najua upo happy sana......May be this will make AW add some sugar in his SALTY Squad!!!!! SHIT!!!!!!!
Sijui kama mtaweza kucope haraka na matatizo haya Departures....Red cards....Suspensions....Injuries....
"Yule" jamaa huwa atokei hapa mpaka aone ameshinda, mwoga kweli....khe khe kheeeeeeeeeeee!!!!
OptaJoe on Twitter: "0 - The last time that Arsenal failed to score in their first two league games of the season was 42 years ago, back in 1969/70. Blunt." Source BBC...
My take the fall down of AW??????