Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

AW hahahahahahaha! naona Fringmpong hakusikia maneno yako...nyie mna laana nakwambia...nyambafu zako weeeee...
 
HERE WE GO....two games in a row.....two REDS.....Discipline = 0.......Arsene need to work this shit as hard as he can...... SUAREZ inn..........GAME OVER??????? Yangu macho.....Hope imedrop 50%.... ndo kwanza kaingia Lansbury.....
 
We want suarez..............Frimpong out arsenal vijana wenu umewatoa wapi?
 
Mie namshukuru tu Kenny kwa kumueka bench Suarez , i hope tutaweza kumbana hapa kwa msaa wa mvua pia.


Dogo naona safari yake nilio tegemea imefika.
 
We Daglish hebu ingiza Meireles na Suarez au unasubiria game na Manu?
 
Yaani hii timu yenu ikutane na timu ka Man City ka mlivo na mnachochea sasa hakyanan mnaopigwa mkono.
 
kazi kweli kweli hapa lazima mpigwe goli jamaa kala red mmesaidiwa ni draw na ni mbaya liver
 
at least draw for Arsenal ,kusema ukweli wanatia huruma
 
Ndio maana Ferguson amegoma kusajili wachezaji wa kiafrika angalia sasa Song,Gervinho na huyu Frimpong
 
Back
Top Bottom