Jamaa ni mbishi sana anaona falsafa yake imefeli lakini hataki kuwa muungwana na kubadilika mbona barcelona wanasajili wacheza kwa pesa ya maana na wachukua vikombe.Yani mkuu kila siku zinavyozidi kwenda bora jana.
Hakuna kitu kibaya kama mikosi iachanganyike na uzembe. Mikadi nyekundu, injury jumlisha kutofanya maamuzi mapema ya issue za fabregas na Nasri haya ndio mavuno tunayopata.
Lakini siwezi kulalamika sana kwa leo kwani timu ni mahututi kwa sasa kutokana na hizo kadi,injury na Wenger kuendelea kutafuta quality. Mda hupo wa kufanya usajili na hata kama itachukua matokeo mabaya kumshawishi zaidi Wenger kufanya usajili basi hiwe hivyo.
Wala hatutaki wachezaji wengi wa tatu tu wanatosha.
Mimi napenda sana Nasri na wote walioko kwenye list ya kuuzwa waende ili tuone what next in his play book? ingawa itakuwa sio fair kwa true arsenal fans.