Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wasiwasi wangu n kuwa mmeanza mapemaaaaa sanaa....sijui hatama yenu ni nini.
Lets wait see.

Idadi ya mashabiki wa Arsenal wanaojinyonga msimu huu itaongezeka

Hujakosea hata kidogo mkuu...Anachoona(AW) ni sahihi ni kuwafanya Arsenal wasindikizaji wa Man Utd na Chelsea(na sasa Man City)....Pamoja na kuifanya Arsenal iwe feeder club ya club zingine kwa ubahili wake.....I hate AW.....
Mi nimeamua kukaa benchi mwaka huu,sitahama Arsenal lakini ile kufatilia saaana hapana.Naipenda Arsenal toka enzi za kina Ian Wright and Dennis Bergkamp-the iceman lakini Wenger anajaza maji kwenye gongo-too dilute.

Huu ni upuuzi kamanda huwezi sema kupoteza captain na influential player kama Nasri eti hakuna pengo! Unajidanganya mazee this is only a wankers ideology ...! Mtachechemea sana kwenye ligi. Kusajili watoto ni tatizo!! kwenye ukweli uweke wazi ! Mnahitaji beki four wa kueleweka Jagy, Scott AMA Garry na kiungo mmoja mzoefu

...Masanilo huo ni mtazamo wako, nami namtazamo wangu,....sawa bro?
That's so low below the belt, WTF does that have to do with my support for ARSENAL?

Kila mtu mmoja wetu hapa ana sababu yake ya kushabikia huko anakoshabikia.
Kuna wale walioanza ishabikia CHELSEA sababu ya Mourinho,
Mimi sishabikii Arsenal sababu ya Fabregas au Nasri...nashabikia ARSENAL!

Narudia kusema tena,....Fabregas alianza manung'uniko tangu FLAMINI aondoke, since then...performance yake haikuwa
sawa kama alivyobreak into 1st eleven baada ya Viera. Nasri pamoja na kipaji chake, tangu 2008 he's in and out of the team. Msimu wa 2010 -2011 katika mechi alizong'ara ni zile ambazo alicheza nafasi ya Fabregas, msimu ambao Fabregas amekuwa majeruhi muda mrefu kuliko misimu mingine. Now, ---link---the--- two kisha fikiria hao wawili wameisaidia nini team in terms of vikombe tangu 2006 todate!

....huwezi nilazimisha theories zako eti nione Fabregas na Nasri ndio pengo wakati mtazamo wangu tofauti. Huo utakuwa ni ujinga uliotukuka. Sawa na mimi ning'ang'anie kukwambia CHELSEA mna pengo la Kerry Dixon, au Bobby Tambling...WTF?

The Winners! Generation ya kina Viera was 'the Crop' of the Invicibles,

~Photo

...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...

...ARSENAL is the team and life has to go on!!!

Pamoja sana mkuu.........Na hapa ndipo ninapomkubali Mbu

Hakika ninajivunia kuwa shabiki wa Arsenal na daima nitabaki kuwa Arsenal....

Arsenal........Together we Stand......

...Masanilo huo ni mtazamo wako, nami namtazamo wangu,....sawa bro?

That's so low below the belt, WTF does that have to do with my support for ARSENAL?

Kila mtu mmoja wetu hapa ana sababu yake ya kushabikia huko anakoshabikia.

Kuna wale walioanza ishabikia CHELSEA sababu ya Mourinho,

Mimi sishabikii Arsenal sababu ya Fabregas au Nasri...nashabikia ARSENAL!

Narudia kusema tena,....Fabregas alianza manung'uniko tangu FLAMINI aondoke, since then...performance yake haikuwa

sawa kama alivyobreak into 1st eleven baada ya Viera. Nasri pamoja na kipaji chake, tangu 2008 he's in and out of the team. Msimu wa 2010 -2011 katika mechi alizong'ara ni zile ambazo alicheza nafasi ya Fabregas, msimu ambao Fabregas amekuwa majeruhi muda mrefu kuliko misimu mingine. Now, ---link---the--- two kisha fikiria hao wawili wameisaidia nini team in terms of vikombe tangu 2006 todate!

....huwezi nilazimisha theories zako eti nione Fabregas na Nasri ndio pengo wakati mtazamo wangu tofauti. Huo utakuwa ni ujinga uliotukuka. Sawa na mimi ning'ang'anie kukwambia CHELSEA mna pengo la Kerry Dixon, au Bobby Tambling...WTF?

The Winners! Generation ya kina Viera was 'the Crop' of the Invicibles,

...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...

...ARSENAL is the team and life has to go on!!!

da umenipa moyo mkuu al da best

Ni ukweli usiopingika
Sherrif... mbona umenivamia kwenye avatar?

Wapenzi wa arsenal... Fabregas was a negative energy to the team, huwezi kulea campain summer nzima yeye ni ku-moan and groan!!! this is a mistake, and it takes out all the summer preparations for Arses... In short hata iweje Arses season will start in end septmmber, mtashinda sawa lakini the whole team planned is fooked

Its the same as any clubs which recruits in August, it takes time to settle ndio maana fergie huwa anafunga baishara mapema (with few exceptions) and Villa-Boas/Maurinho do teh same (biashara za wachezaji awali)

Haya bwana Mbu!Ingependeza Kama Gerv could have started with a goal rather than a red card for diving and slapping Barton! Pamoja na maelezo mengi it was obvious Cesc alikuwa anaondoka, Nasri, Nicky, Clinchy....central defender wakueleweka kwenu ni Thom tu...timu yenu ingeziba hayo mapengo mapema...Nimeangalia mechi ya jana your team is so fragile, it don't count on them again this season...labda Kama kutafanyika usajili wa kueleweka. kusema hakuna mapengo ni kujipa sifa za Magamba

Idadi ya mashabiki wa Arsenal wanaojinyonga msimu huu itaongezeka

Hawezi kuwa wa ARSENAL, labda kalazimishwa,
Arsenal Hatuna tofauti na WATANZANIA chini ya CCM kila siku ni matumaini na tumezoea,
Kifupi " IN WENGER WE TRUST"
too " WENGER KNOWS"

Haya bwana Mbu!Ingependeza Kama Gerv could have started with a goal rather than a red card for diving and slapping Barton! Pamoja na maelezo mengi it was obvious Cesc alikuwa anaondoka, Nasri, Nicky, Clinchy....central defender wakueleweka kwenu ni Thom tu...timu yenu ingeziba hayo mapengo mapema...Nimeangalia mechi ya jana your team is so fragile, it don't count on them again this season...labda Kama kutafanyika usajili wa kueleweka. kusema hakuna mapengo ni kujipa sifa za Magamba

Same comments each SEASON, and It never counted in 2010, 2009, 2008, 2007,2006,2005 and so on, but at end of season always you come to conclusion that WENGER KNOWS after proving you and your fellows WRONG always,
sisi tunasema In WENGER WE TRUST.

Kila mtu mmoja wetu hapa ana sababu yake ya kushabikia huko anakoshabikia.
Kuna wale walioanza ishabikia CHELSEA sababu ya Mourinho,
Mimi sishabikii Arsenal sababu ya Fabregas au Nasri...nashabikia ARSENAL!

Narudia kusema tena,....Fabregas alianza manung'uniko tangu FLAMINI aondoke, since then...performance yake haikuwa
sawa kama alivyobreak into 1st eleven baada ya Viera. Nasri pamoja na kipaji chake, tangu 2008 he's in and out of the team. Msimu wa 2010 -2011 katika mechi alizong'ara ni zile ambazo alicheza nafasi ya Fabregas, msimu ambao Fabregas amekuwa majeruhi muda mrefu kuliko misimu mingine. Now, ---link---the--- two kisha fikiria hao wawili wameisaidia nini team in terms of vikombe tangu 2006 todate!

....huwezi nilazimisha theories zako eti nione Fabregas na Nasri ndio pengo wakati mtazamo wangu tofauti. Huo utakuwa ni ujinga uliotukuka. Sawa na mimi ning'ang'anie kukwambia CHELSEA mna pengo la Kerry Dixon, au Bobby Tambling...WTF?
...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...
...ARSENAL is the team and life has to go on!!!

Hayo ndio maneno bwana Mbu, ebu wang'ate bila ya kuwaachia plasmodium!

Shabikia Arsenal, toa maoni yako ila mwisho wa siku washabiki wa Arsenal tuna tabia ya kuwa support mameneja wetu.

AW ndio yuko pale, kwani mnataka kusema yeye haoni hayo matatizo? Kila kukicha wanadai makipa wetu bomu,tukachukua vikombe mpaka tukaenda 49 matches unbeaten! Bado wakawa wanamponda Lehman tu!

Mnataka na kumlazimisha AW awanunue hao wakina Samba, Cahill, Scott na sijui nani sijui. Ila mie najiuliza kama kweli hawa wangekua ma defender wa uhakika, mbona bado timu zao zimefungwa magoli kuliko Arsenal??! Nina uhakika sitapata jibu la kunielewesha apo!
Tuna Vermaelen, Djourou, Koscielny na hata Squillacci, bado mie nawaona wako wazuri kuliko hao wanaosema tunawanunue!

Ndio! Maana Wamezuia magoli machache kuliko hao ma defender wajuzi wanataka tuwanunue.
Ikitokea meneja (AW) atataka kuwanunua poa, maana ndio mwenye usemi wa mwisho.

Kila kukicha tunapondwa, mara forward yetu bomu (wakati tulikua wa pili kwa kufunga magoli mengi msimu uliopita!). Mara hatuna defenders, statistics zinaonyesha tulikua wanne kufungwa magoli machache!

Ubaya uko wapi hapo?

Mara hamjashinda vikombe miaka 6, sawa, ila tumefanya nini kimaendeleo miaka yote hio sita!
• Tumemaliza kuwa wanne mara 3
• Kuwa watatu mara moja
• Wa pili mara moja
• Fainali za Champs Lg
• Fainali ya Carling Cup mara 2
• Semi final za FA cup chungu nzima.
YOTE HII KWA KUCHEZESHA WATOTO, DEFENCE MBOVU NA KUHAMIA UWANJA MPYA!!!!

HALAFU MNATAKA TUMTUPE ARSENE WENGER?!

BURE KABISA WATU WENGINE

Haya bwana Mbu!Ingependeza Kama Gerv could have started with a goal rather than a red card for diving and slapping Barton! Pamoja na maelezo mengi it was obvious Cesc alikuwa anaondoka, Nasri, Nicky, Clinchy....central defender wakueleweka kwenu ni Thom tu...timu yenu ingeziba hayo mapengo mapema...Nimeangalia mechi ya jana your team is so fragile, it don't count on them again this season...labda Kama kutafanyika usajili wa kueleweka. kusema hakuna mapengo ni kujipa sifa za Magamba

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee labda tuulize Tor The Res ambaye amecheza na loserfools ilichukua muda gani kufunga goli? Kweli nyani haoni Ku .... ..... .

Nilisema? Kasome tena post yangu niliuliza "Gervinho naye diver?" Wacha kelele msipoangalia keshokutwa mtatolewa kwenye champions league.

Aliyesema ni Diver Nani? Siyo Mfaransa? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Idadi ya mashabiki wa Manure wanaojinyonga msimu huu itaongezeka

Bora mjinyonge ndio mtapata akili khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wakuu kwa nini hii biashara ya hawa watu isiishe mapema? Waondoke watu wajishughulishe na mambo mengine- sioni lolote waliloisaidia Arsenal zaidi ya presha kila kukicha, Wakati ule wa kuondoka Thierry Henry na Viera kweli ulikuwa wakati wa masikitiko kwa sababu ya mchango wao kwa timu; lakini hawa!! hakuna lolote ute mtupu!!

Arsenal timu yetu bado sana.......

Wenger anapaswa kusajili haraka sana kabla mambo hayajaharibika zaidi,anapaswa kusajili mabeki wawili(wakati mmoja na wa pembeni kushoto mmoja).....Pia anapaswa kusajili kiungo wa kuziba nafasi ya Nasri....Huyu Ramsey leo amecheza urojo tu,alilegea kama Diaby vile,hakuwa kwenye form kabisa......Pia tunahitaji mshambuliaji wa maana ambaye atasaidiana na RVP pale mbele......Yasipofanyika haya nachelea kusema tutashika nafasi ya 10 kama siyo ya 15 msimu huu......Tumshukuru Mungu hatujafungwa leo...

Naukumbuka wimbo wa Nachechemea utunzi wake Hussein Jumbe akiwa na DDC Mlimani Park Orch. wana Sikinde Ngoma ya ukae a.k.a Nginde...

Imekuwaje tena Bala? Hapo kwenye nyekundu duh! sikutegemea kusikia haya kutoka kwako kamanda........ Timu bado sio MBOVU kiivyoo mazee, wengi wetu tunaamini (hata baadhi ya wapinzani wanaolewa mpira wanafahamu) kwamba tukipata wachezaji experienced walau watatu ambao ni world class kwenye nafasi zinazoeleweka tunaweza ku-challenge ubingwa na hizo ndio frustrations zetu kwa Wenger na bodi.
Tusipofanya usajili itatuwia vigumu lakini hata kwa timu hii-hii tuliyonayo siamini kwamba tutamaliza chini ya Liverpool ama Spurs, Liverpool pamoja na kufanya usajili mzuri lakini staili yao ya Ken wako karibia sawa na Spurs (mpira wa kiingereza) na kwa staili hii utakuta watakuja na vishindo vingi lakini ikifika Febuari wachezaji wote wanachoka kabisa, wanawaachia wenye nafasi zao.
Usijali mkuu tusiposajili nafasi ya nne is the worst we can finish. Kama tutasajili wachezaji hata wawili wa kueleweka basi trophy japo 1 guarantee.
Jengine nililoliona ni Wenger ameshabaini kwamba ni bora uwe na mchezaji ambaye anakupa asilimia 100 akiwa uwanjani kuliko mijina mikubwa inayoleta usanii na ubangaizaji, bado mapema lakini ligi ikichanganya tutegemee makubwa toka kwa akina Gibbs, Frimpong, Chamberlain na Jenkinson, these guys will give us100% commitment every time on the pitch, no good having half committed Nasri, Cesc and Bendtner
Good Riddance!

Mkuu wangu sana Kweli.....Nimekusoma vizuri sana....

Timu yetu(kwa kiwango walichoonesha juzi wakati wa game na Newcastle) bado ni mbovu mkuu...Hatuna kiungo cha kuaminika,hatuna beki 4 mzuri wa kusaidiana na kitasa TV5, hatuna beki 3 mzuri(Gibbs akiumia sijui nani atacheza,Traore?),hatuna mshambuliaji mfungaji mzuri wa kusaidiana na RVP pale mbele.....Pia Sagna akiumia sijui itakuwaje....

Mpira wa sasa ni pesa mkuu,ni pesa ndizo zimeifanya Chelsea ikawa tishio kwani iliweza kusajili wachezaji wa maana kiasi cha kutupoka ile nafasi yetu ya kuwa wapinzani na washindani wakubwa wa Man Utd kwenye title race ya EPL.....Ni pesa ndizo zinaifanya Man City kutuondoa kwenye Big 3 ya EPL....Na ni pesa ndizo zitatufanya tusiwepo hata kwenye Big 4 ya EPL.....Tatizo Arsenal si pesa,tatizo ni sera mbovu za AW na Directors wake.....Wanaweka pesa mbele kuliko maslahi ya timu.....

Haiwezekani Arsenal iliyokuwa tishio kubwa katika EPL,ambayo ilikuwa ikipokezana ubingwa na Man Utd leo hii ikawa nyuma ya Man City na Chelsea.....Haiwezekani hata kidogo.....AW na bodi yake wanatakiwa wafanye maamuzi magumu,wazitumie pesa watakazozipata kwa kuwauza Fabregas na Nasri kuwanunua wachezaji wa maana....Nashangaa sana kusikia eti AW anabargain kumnunua beki mahiri kama Chris Samba kwa paundi mil 12,eti anataka kununua chini ya hapo....Huu ni upuuzi.....Pia juzi kasema hana mpango wa kuwanunua Jadson wala Mata,hii ina maana hana mpango wa kununua kiungo atakayeziba pengo la Nasri wala nafasi ya Fabregas?.....Hiki kitakuwa ni kichekesho,maana huyo Ramsey ambaye anategemea ndiyo ataziba pengo la Nasri/Fabregas sijaona lolote alilolifanya juzi zaidi ya kukimbiakimbia uwanjani na kupoteza mipira....Hata Frimpong bado sana kumtegemea......

AW anapaswa kusajili wachezaji wa maana(bila kuangalia bei zao),tumechoka kwa kweli kweli kuwa wasindikizaji kwa misimu zaidi ya mitano.....Tusiitumie timu ya wakubwa kuwaandaa/kuwatengeneza wachezaji,wachezaji waandaliwe kwenye academy na kwenye timu ya reserves lakini si kwenye timu ya wakubwa,hii ni bahati nasibu na ni utaratibu ambao tayari umeonesha kufeli(kwa miaka mitano iliyopita)......Nina uhakika Liverpool,Newcastle na Spurs wakiendelea kusajili na kukaa sawa na sisi tusiposajili msimu huu tutakuwa nyuma yao......Kwangu mimi kuwa nyuma ya timu hizi hakuna tofauti na kuwa nafasi ya 10 kama sio ya 15....

Arsenal haikupaswa kuwa nyuma ya Chelsea wala Man City,Arsenal size yake ilikuwa ni Man Utd basi.......Arsenal siyo timu ya kukosa hata kombe la Carling kwa kufungwa na vibonde walioshuka daraja Birmingham....

Nawakumbuka sana The Invincibles

Back
Top Bottom