<br />As Fulham Vs S'land so as Arsenal Vs N'Castle.....Bado finishing ni tatizo... Gevinho is Good though kwenye finishing bado ni mbovu... Anahitaji muda kuzoea EPL na anahitaji kupunguza hasira......Ramsey looked good katikati... Song still Soilid... Verminator and Cos wameonyesha kiwango kizuri they can create a nice pair though we need back up yao nzuri......To AW need to buy two players a FINISHER and a CB....Thanx wadau kwa umoja wenu na ushirikiano katika jukwaa hili... Nakaribisha Kshfa na dhihaka kutoka kwa watani.....
haina majotroooo! point moja si haba mkuuu!!!! ..... bado wewe
WACHA1 JAMANI YUKO WAPI???? TEHTEH Hata mie hunifurahisha lazima aje Thread za watu kuja kuchokoza na mapicha lol! lake likimkuta anapotea kisingizio Tanesco lol! inaonesha ame freeze na Remote kwenye TV bado haamini @ Wacha1 . mwenyewe anafikiria kuna Overtime lol.
Mi nimesalimia tu mkuu, mambo ya point yametoka wapi tena?
Vp wewe kesho?????
red card Gervinho!!!!! kwanza kadive halafu analeta ngumi!!
D'oh nini tena?
Hahahah arsenal mnakula kadi tu hapa... Gervinho naye diver?
we cant judge any team in game... sie leo tulifulia kabisaa, at least arsenal wanajitahidi
Mbona ile rafu ya Song hukusema hivyo?! Stop being hypocrite.
Kwani nyie si ndio kawaida yenu kufulia, au?!
Wapi wacha1??? Mechi nzima hakuna khe khe kheeee!! Au yuko busy ameshikilia kitovu?!
dogo ana kelele kama nini aisee
Huyo Coward hawezi kuwepo wakati wa live games!
<br />
<br />
Jamaa yuko funny sana, tatizo muoga mno kwenye mechi za Arsenal anazama mitini...
Sie si unajua uwa tunaanza taratibu...draw draw nyiiingi ila tukifika November/December/January tunafire all cylinders.
Usiku mwema wajemeni
Jamaa kaja na hasira ile mbaya
Rev Fr Masanilo aka padri Bandia 2357344 said:Gervinho Hana akili EPL hatoiweza! Thanks Joey Barton
Gervihno kwanza anahusikana looting huko Eastern LondonPadri bandia vipi? Wacha ngebe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nasikia Loserfools na Manure wanakenua maana wanajua ngoma yake ingekuwa sokomoko.
Gervihno kwanza anahusikana looting huko Eastern London
Gervihno kwanza anahusikana looting huko Eastern London
Hahahaha! Met wanamtafuta!
Sijui Balatanda yupo mitaa ipi?
Kwa uhakika kabisa hii Arsenal ya mwaka huu ikijitahidi sana itaishia nafasi ya kumi! Mbu/Balatanda/ and Arsene poleni sana - lakini ukweli ndiyo hu...
Leo mnachapwa 2 - 1!