Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
64% - Arsenal's league wins with Fabregas in the starting XI last season, vs 31% without him. -Opta Stats
What about VIKOMBE compared na other CAPTAINS ?
64% - Arsenal's league wins with Fabregas in the starting XI last season, vs 31% without him. -Opta Stats
Nami ni mmoja wa wanaoamini hivyo.mkuu nakwambia gooners watakuja kuwashangaza..
subirini tu
...Masanilo huo ni mtazamo wako, nami namtazamo wangu,....sawa bro?
That's so low below the belt, WTF does that have to do with my support for ARSENAL?
Kila mtu mmoja wetu hapa ana sababu yake ya kushabikia huko anakoshabikia.
Kuna wale walioanza ishabikia CHELSEA sababu ya Mourinho,
Mimi sishabikii Arsenal sababu ya Fabregas au Nasri...nashabikia ARSENAL!
Narudia kusema tena,....Fabregas alianza manung'uniko tangu FLAMINI aondoke, since then...performance yake haikuwa
sawa kama alivyobreak into 1st eleven baada ya Viera. Nasri pamoja na kipaji chake, tangu 2008 he's in and out of the team. Msimu wa 2010 -2011 katika mechi alizong'ara ni zile ambazo alicheza nafasi ya Fabregas, msimu ambao Fabregas amekuwa majeruhi muda mrefu kuliko misimu mingine. Now, ---link---the--- two kisha fikiria hao wawili wameisaidia nini team in terms of vikombe tangu 2006 todate!
....huwezi nilazimisha theories zako eti nione Fabregas na Nasri ndio pengo wakati mtazamo wangu tofauti. Huo utakuwa ni ujinga uliotukuka. Sawa na mimi ning'ang'anie kukwambia CHELSEA mna pengo la Kerry Dixon, au Bobby Tambling...WTF?
The Winners! Generation ya kina Viera was 'the Crop' of the Invicibles,
...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...![]()
...ARSENAL is the team and life has to go on!!!
Gervinho and Song given three-match bans for Newcastle riot.
Kwa finishing Walcoltt mzuri ila matatizo yako supply, krosi zake mara nyingi zinakuwa mbovu na huwa ana tabia ya kuchelewa kufanya maamuzi sahihiSafi san Walcott, Wenger alikuonea kukuanzisha kwenye benchi game ya New Castle, hajui kama anakuhitaji sana msimu huu.
Kwa finishing Walcoltt mzuri ila matatizo yako supply, krosi zake mara nyingi zinakuwa mbovu na huwa ana tabia ya kuchelewa kufanya maamuzi sahihi
Na akiumia ndio tumekwisha hatuna cover ya kueleweka position hiiDogo Gibbs mzigo aliopewa na wengi ni mzito sanaaaa.
Song unaenda na mpira mpaka wapi? Naona lazima tupate kiungo ambaye anaweza ku-shoot kutoka nje ya box.