Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal timu yetu bado sana.......Kwa aina ya mchezo tuliocheza leo na timu iliyopangwa leo hatustahili hata kuwa kwenye top 5(ukweli ndio huu japo unauma)....

Wenger anapaswa kusajili haraka sana kabla mambo hayajaharibika zaidi,anapaswa kusajili mabeki wawili(wakati mmoja na wa pembeni kushoto mmoja).....Pia anapaswa kusajili kiungo wa kuziba nafasi ya Nasri....Huyu Ramsey leo amecheza urojo tu,alilegea kama Diaby vile,hakuwa kwenye form kabisa......Pia tunahitaji mshambuliaji wa maana ambaye atasaidiana na RVP pale mbele......Yasipofanyika haya nachelea kusema tutashika nafasi ya 10 kama siyo ya 15 msimu huu......Tumshukuru Mungu hatujafungwa leo...

Naukumbuka wimbo wa Nachechemea utunzi wake Hussein Jumbe akiwa na DDC Mlimani Park Orch. wana Sikinde Ngoma ya ukae a.k.a Nginde...
 
Pamoja na kwamba Gervinho alidive....Ukweli ni kwamba Refa alikurupuka kutoa ile red card......Nadhani akiangalia video replay na kuona jinsi Barton alivyomnyakua Gervinho atajisikia vibaya sana......Kulikuwa na haja ya Refa kuzungumza na wasaidizi wake kwanza kabla ya kutoa ile Red maana wakati Barton anamnyakua Gervinho Refa alikuwa anaangalia upande mwingine kabisa...

Halafu ile sio ngumi wala nini,Gervinho kamgusa tu Barton naye akajiangusha na kuanza kuugulia maumivu.....lol

Tutafika tu.......
 
Last edited by a moderator:
As Fulham Vs S'land so as Arsenal Vs N'Castle.....Bado finishing ni tatizo... Gevinho is Good though kwenye finishing bado ni mbovu... Anahitaji muda kuzoea EPL na anahitaji kupunguza hasira......Ramsey looked good katikati... Song still Soilid... Verminator and Cos wameonyesha kiwango kizuri they can create a nice pair though we need back up yao nzuri......To AW need to buy two players a FINISHER and a CB....Thanx wadau kwa umoja wenu na ushirikiano katika jukwaa hili... Nakaribisha Kshfa na dhihaka kutoka kwa watani.....
<br />
<br />
Duh! Mkuu, Fulham vs S'land wameshacheza mara hii?????
 
Pamoja na kwamba Gervinho alidive....Ukweli ni kwamba Refa alikurupuka kutoa ile red card......Nadhani akiangalia video replay na kuona jinsi Barton alivyomnyakua Gervinho atajisikia vibaya sana......Kulikuwa na haja ya Refa kuzungumza na wasaidizi wake kwanza kabla ya kutoa ile Red maana wakati Barton anamnyakua Gervinho Refa alikuwa anaangalia upande mwingine kabisa...

Halafu ile sio ngumi wala nini,Gervinho kamgusa tu Barton naye akajiangusha na kuanza kuugulia maumivu.....lol

Tutafika tu.......

Kibaoa cha Drogba alichompiga Vidic na cha Gervinho kinatofauti gani? Labda refa kajumlisha yellow ya kudive na ya kibao. Wenger amesema he's likely going to appeal.
 
Last edited by a moderator:
Wacha kulia lia kila msimu kisingizio chako ni icho icho tu....!!

Wacha ngebe ulisema Gerv ame-dive na replay zote zinaonyesha kwamba alikwatuliwa, chacha nani anaelialia kama kasuku? Yaani hata hilo la draw linawauma. Tunafahamu kila mara mnatembeza bahasha lakini zitawatokea puani khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Gervinho is a diving girl!
 
Nilisema? Kasome tena post yangu niliuliza "Gervinho naye diver?" Wacha kelele msipoangalia keshokutwa mtatolewa kwenye champions league.
 
....pheeewwwwwww!!!!!, kudddddaaaaadddeki wallahi!....tume draw kelele hivi, tungewafunga ooohh mmewaonea...
haina noma wala nini,....Clean sheet ugenini...point moja kibindoni!
Tutange yajayo.

Hakuna cha pengo la Nasri wala mama yake Fabregas...nawashangaa wanaowaombolezea hawa jamaa, What's wrong
with you people? Life has to go on bana ....WE ARE THE GUNNERS, Together we stand!
 
....pheeewwwwwww!!!!!, kudddddaaaaadddeki wallahi!....tume draw kelele hivi, tungewafunga ooohh mmewaonea...haina noma wala nini,....Clean sheet ugenini...point moja kibindoni! Tugange yajayo. Hakuna cha pengo la Nasri wala mama yake Fabregas...nawashangaa wanaowaombolezea hawa jamaa, What's wrong with you people? Life has to go on bana ....WE ARE THE GUNNERS, Together we stand!
Huu ni upuuzi kamanda huwezi sema kupoteza captain na influential player kama Nasri eti hakuna pengo! Unajidanganya mazee this is only a wankers ideology ...! Mtachechemea sana kwenye ligi. Kusajili watoto ni tatizo!! kwenye ukweli uweke wazi ! Mnahitaji beki four wa kueleweka Jagy, Scott AMA Garry na kiungo mmoja mzoefu
 
Ni ukweli usiopingika
 
Home B...........Kuna faida gani ya kuendelea kuwa na Fabregas,Nasri & co?.......Binafsi sijaona faida ama la maana lolote waliloleta Arsenal kiasi cha kuendelea kuwang'ang'ania waendelee kuwepo Arsenal ama kusikitika kuondoka kwao....

Binafsi ningekuwa na uwezo ningeifumua kikosi chote cha msimu uliopita pamoja na kumtimua kocha wao AW na kuwaacha RVP,TV5 na JW basi,wengine wote ningewafungisha sambamba na Fabregas na Nasri.......Arsenal inahitaji kusajili wachezaji wa maana(wenye iwango kikubwa) hasa mabeki wawili,mmoja wa kati asaidiane na TV5 na mwingine wa kushoto....Pia wasajili kiungo mmoja mzoefu pamoja na mshambuliaji mfungaji mzuri ambaye atasaidiana na RVP pale ....

Natamani kusikia kwamba Cesc na Samir wameondoka hata leo.......Fabregas pamoja na kuwa Captain kwa muda mrefu hakuna lolote aliloleta Arsenal(vikombe) zaidi ya kuifanya iwe msindikizaji wa kudumu wa Man Utd na Chelsea......Ni sawa na Nasri,hajatusaidia lolote(vikombe).....Tunachotaka ni vikombe na kuondokana na adha hii ya kuwa wasindikizaji wa EPL.....Halafu ni bora tukamuuza Nasri tukapata fedha za kusajili badala ya kumng'ang'ania akacheza msimu huu amabao kimsingi tutatoka kapa pia na kumuacha mwakani aondoke bure,hii itakuwa ni hasara kama ilivyokuwa kwa Clichy.....

Cha msingi AW awauze Fabregas na Nasri apate hela ya kuwasajili hao Mata/Jadson na Samba/Garry.......Aaachane na hii habari ya kuwasajili watoto,aige mfano wa Chelsea na Man Utd ambao kwayo kutoa mshiko wa maana kumsajili mchezaji wa maana si kitu cha ajabu......Binafsi naona aibu sana eti kusikia AW anakosa paundi million 12 kumsajili Chriss Samba....Inasikitisha sana....

Usipofanyika usajili wa maana kwa siku hizi zilizobaki nina uhakika msimu huu tutashika nafasi ya 10 kama sio ya 15 kwenye msimamo wa EPL...
 
Humu tunabwabwaja tu,
Wenger Knows!
Tumwache afanye what he feels its right.
Hujakosea hata kidogo mkuu...

Anachoona(AW) ni sahihi ni kuwafanya Arsenal wasindikizaji wa Man Utd na Chelsea(na sasa Man City)....Pamoja na kuifanya Arsenal iwe feeder club ya club zingine kwa ubahili wake.....

I hate AW.....
 
Back
Top Bottom