Responsible to oversee the whole operation
Jukwaa hii kuna watu wanaonekana mkishinda tuu, Kweli, Richard, Radical, Kibunango, Ng'wanza Madaso naye anakujaga watu wakishaondoka kuna watu kama Kana kansungu, Game Theory waliona isiwe shida wakaamua kuingia mitini jumla jumla tangu 2007 mnasemaga hivi hivi msimu huu ni bakora kwa kwenda mbele blah blah...
Mtani mimi ni mwanajeshi kamili na katu sikimbii mapigano, tukishinda nipo na tukifungwa nakuja tunajadili na kutathmini, wakati mwengine nakuwa nimebanwa kwenye hustle and bustle za mujini kaka, msimu tulioondoka nao kuanzia Machi nilikuwa mbali na sio JF tu bali hata mtandaoni kutokana na mambo fulani binafsi (personal)
Ila ukweli huku jukwaa la michezo Arsenal tunaongoza kwa kuwa na wanachama wenye msimamo, huku kaka tuko full nondo, hebu cheki iyo executive board yetu.
Field Marshall:
A. Wenger - Chief of joint staff, responsible in overseeing all Units.
Field Marshall
G Theory (Henry) - (semi retired) replaced by F Marshall Wenger.
General
Wacha1- Head, Air Strike Division ( recruited from snipers squadron and since has received so much accolade and remarkable reputation for his bravery and precise target bombardment on enemies territory)
Gen.
Mbu - Responsible for planning, tactical and frontline manouvering, head of planning unit
Gen.
Kibunango - semi-retired Air Strike Division, slowly handing over day to day war-field operation to Gen.Wacha1,
Gen.
Balatanda - Head of Intelligence unit.
Gen.
Kweli - 1st Infantry division
Gen.
N Madaso- 1st cavalry division
L. Gen.
Michelle - Head of public relation
Gen.
BAK - Director of Communication.
Gen.
BabaMkubwa - Head, Combat Engineerings.
Gen
Viper - Head of Reconnaissance
Gen.
Richard - Artillery division
Gen
Companero - Head of Logistic
L Gen.
Radical - Welfare department.
Other sitting board members L Gen.
Jeb2002, L Gen
Rejao.
Sasa jopo hili apo adui anapokuja kizembe-zembe anatafuta kubomolewa.