Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jenknson hana tofauti na clichy! cross hazina macho.. akipata mpira ana midadi ya kuchomeka crosss dogo sio gooners material kabisaa
 
Jenknson hana tofauti na clichy! cross hazina macho.. akipata mpira ana midadi ya kuchomeka crosss dogo sio gooners material kabisaa
Tumpe mda labda atajirekebisha lakini sasa eboue akiuzwa tuombe mungu sagna asipate injury.
 
Ndio nimeanza kutazama kabla ya kipindi cha pili kuisha.

Naona bado defence tunapwaya, Djourou na Vermaelen sio wabaya ila kunaka upenyo kila mara ukipigwa mpira kwa juu au wa kupenyeza.

Naona leo yule mvamizi hayupo hapa na kero zake, kwa kweli yuko kama kuku wa kienyeji kabisa!
 
Wataalam wanabishana kama Arsenal wawe wanatumia zonal marking au man to man marking.

Mie sijali, ila nataka wawe wana defend vizuri!
 
Goli zuri mno, at least refa alipeta mpira uendelee kuchezwa baada ya foul kwa Vela.

Tuko poa, wala sitajali kama hatuchukui kikombe wala nini, swala ni ticheze mpira kama mpira unavyotakiwa kuchezwa!

Wenzangu mnasemaje?
 
Wataalam wanabishana kama Arsenal wawe wanatumia zonal marking au man to man marking.Mie sijali, ila nataka wawe wana defend vizuri!
Ni vigumu kujua kama zonal marking itafanya kazi vizuri kwa kupitia mechi hizi naona tusubiri tuone.
 
Yaani hatujifunzi misimu yote!
Magoli yote mawili uzembe wa mabeki!
Wenger chukua Samba na Jagielka plzzzz
 
Yale yale wakuu, ukiwa uwanjani hakuna cha friendly wala nini, swala ni kucheza vizuri.

Kifupi hatuna defense, na ndio kushindwa kwetu.

Ila AW hataki kununua beki yoyote yule, infact tunaitaji mabeki wawili.
 
Back
Top Bottom