Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,242
- 76,781
Kumbe ndo ili ascoreMbona Haaland kaachia nywele tumemkosea nini?
Kumbe ndo ili ascoreMbona Haaland kaachia nywele tumemkosea nini?
Huu ujinga ndio umewafikisha hapo. Umetolewa kwenye makombe yote na ubingwa umepotea baada ya kuongoza msimu mzima. Mtakuwa mmelogwa nyieNdugu zangu wana Arsenali timu yetu ni nzuri na ina mwelekeo mzuri. Matokeo yeyote na hapa tulipo ni hatua kubwa. Tuzidi kukuamini Arteta na Bodi imsapoti. Tutafika mbali
Nawakumbusha! Hii ndiyo fixture yenu. Wanafuata Wabluu.Wagonga Nyundo.
Watakatifu.
Wananchi.
Wabluu.
Ndege Kinubi.
Ndege Shakwe.
Msitu wa Nottingham.
Mbwa Mwitu.
Hizo ndiyo mechi 8 za Arsenyani zinazofuata.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa waingereza wa Arsenal duh