Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20230426-234711.png
 
Hawa City walipigwa OT, Haaland akicheza dk 90 bila shot on target.

United ana medali 2 msimu huu. Nafasi ya kwenda Champions League.

Arsenyani mafanikio yao makubwa ni kushika nafasi ya Man City.

Kuna Arsenyani huwa wanakuja kulisema soka la Erik ten Hag lakini ndiyo linampa mafanikio hivyo huku bado anasuka kikosi ambacho Arsenal hawatafikia quality yake.
Etihad mlipigwa ngapi 😂😂😂 kama sio 6
 
Kuna kauli nazikumbuka MANCHESTER CITY HAS GOT MORE GAMES COMPARE TO ARSENAL
Arsenal akatolewa carabao tukasema competition haina maana,Arsenal akatolewa FA tukasema competition haina umuhimu, Arsenal akatolewa Europa league tukasema competition haina maana ni better to win EPL mean Arteta ni Genius, some fans wa Arsenal ni very irrogant, very stupid, nilipiga sana kelele kuwa Arsenal Europa league Cup kwake ni muhimu sana nikaitwa ARV milangomitatu haya ngoja tuingiziwe miti next season tutaongea akili moja Arsenal itaendelea ikinunuliwa na waarabu sio huyo choko wa USA
Natumai next season nikiwa naielezea Arsenal die hard fans wa Arsenal mtakuwa mmeshika adabu na kunisikiliza
Bro wewe ndio una akili peke yako humu ndani. Tumeahasema mara kadhaa.Siyo hizi viazi mbatata zingine.,
 
Back
Top Bottom