Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake? reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee

4 points lost in the last two games will be remembered
 
DF17B144-9BAD-4F79-A7AC-00014A18DC1D.jpeg
 
ndio tayari leo rasmi wameingia kwenye mfumo wa miaka 21 bila ya kubeba Epl.
Kbs kama msimu huu na hype yote hii lkn wanaonekana wamekata tamaa.. Watakua lini tena kwny nafas nzr kama hii.. Tena wakiwa wanajigamba kua wao Michuano mingne ngj watoke tu wa focus na ligi..

Cha ajabu watu wanaocheza iyo Michuano wanakuja toka nao draw au kufungwa.
 
Tumetembeza vipigo kwa timu nyingi mpaka zimekua haters siku hizi zote zinashangilia Arsenal ikiwa inastruggle.

Nafikiri imekua haraka sisi kutengeneza haters wengi kwa mara moja huku tukiwa hatuna 100% quality. Tuwe tunabeba hoja za msingi hoja za city ana mashindano mengi ni za kimiyeyusho.

Bado tunaweza kugeuza kitu labda. We'll show great character kama tutafanya hivyo
Mtafanya nini tena "Kila mtu ashinde mechi zake"
 
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake? reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
Timu zote zinazojielewa ikifikia hatua hii ni kufukuza kocha tu. Umetolewa CARABAO, FA, EUROPA, halafu leo mechi nne mfululizo bila ushindi!! Tafuteni kocha anayejielewa sio hako kakatuni kanarukaruka kwenye touchline muda wote.
 
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake? reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee

You were overconfident that arsenal would win the title, that’s a big mistake, and the reason you are so gutted and emotional. Tuliza ball, lipe nafasi lipite and look forward to having a strong squad next season.
 
Dedication kwa wale wote waliowahi kutandikwa na kijana mdogo kutoka mitaa ya Etihad.

Ila zaidi umfikie bwana Castr .
Ila nyumbu ni wajinga sana.
Naendelea kuhesabu mechi.

Kuna level ambayo arsenal mushaweza kuifika ila sisi nyumbu sijui tutaifika lini.

Nazungumzia Uwezo wa kwenda jino kwa jino na man city kwa upande wa kumiliki mchezo.
 
Back
Top Bottom