Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,094
Ila unakubali we ni kubwa jinga umepigwa 7 😂😂😂?Unakubali kwanza kama msimu huu hauna kombe unalopata? Kisha tuendelee na mjadala
Mbona vikombe hivyo tunavyo na wala hausemi baadhi ya misimu ..Tukisema huku utahamia huku