Wamejitahidi maana hupigwa dk ya 1Leo 7 ha ha haaaaaaaView attachment 2600795

Kila la kheirCity atapigwa tu
Japo ametutangulia
I believeCity atapigwa tu
Japo ametutangulia
Arteta ni kocha la dunia, Arsenyani wanakwambia kina Guardiola na Don Carlo wote hua wanachukuaga madesa toka kwa Teta boy![]()
City atapigwa tu
Japo ametutangulia
Kwa huu ugolo ulioandika najiuliza sijui kwanini Bado una uhaiNaona NZI wengi wanarukaruka hapa lakini hii komenti itaendelea kusimama. Ubingwa wa EPL ni kwa Arsenal msimu huu.
Mabadiliko kidogo ni kwamba sasa hivi lazima tushinde Etihad, Newcastle, Chelsea na Brighton pamoja na zile za Nottingham na Wolves.
Arsenal.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Anafosije kwa mfano?Pace is slower. Trossard anahitajika kufosi timu iende mbele
Ha ha haaaaaaaaaaAnafosije kwa mfano?
Nani alisema De Bruine mzee..anawaburuza hawa mabeki kweli kweli.Pace is slower. Trossard anahitajika kufosi timu iende mbele