Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Tupe na ya chelseaAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowoo na kusema chukua yote yako.
Tupe na ya chelseaAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowoo na kusema chukua yote yako.
My ID ni hii hii,ukitaka kuamini Arsenal ni team ya laana angalia kila anachokitaka hakipati,last 2 seasons tuliikosa hata Conference mwishoni, last season tukaikosa Champions league mwishoni,this season tumekosa Ubingwa so why tusiseme Arsenal imelaaniwa na aliyeilaani amedead long time ago
Nothing new kwa Arsenal may be team inunuliwe na waarabuGames like this normally exposé one’s weaknesses, so we expect the board to work on them
Endeleeni kuporomosha lawama 😂Sijajua kwanini Arteta anamkumbatia sana Holding, huyu jamaa anatuchoma sana; hili goal la Stones ni poor marking yake.
Sent using Jamii Forums mobile app