Mpaka sasa sijaona udhaifu wa Holding wa kusema anatakiwa kubadilishwa.kuna umuhimu wa ben white kurudishwa katikati badala ya kuendelea kumtumia rob holding?
Carabao cup out
We don't want small trophy,, we want FA, Europa league and premier league.
FA cup out
Fa not a must to us coz we have won plenty of them,, tunataka Europa league na premier league
Europa league out
Arteta is very intelligent,, he want to focus on winning the premier league and that's the main aim
Premier league now complicated
Our main aim was to play champions league next season ,, we want to focus on top 4...
Yaani naskia raha ndani ya roho
Mataito kontendaz😂😂wewe siye wale wananzengo wa aseno ndoo halaand kiatu?!Timu yoyote ile ingekua position tuliopo sisi ingechukua ubingwa hata Nottingham forest. You are top of the table , unacheza na liverpool mbovu ndani ya dk30 unaongozaa 2 :0 , unacheza na westham inayopambana kutoshuka daraja ndani ya dk 15 unaongoza 2:0 na cha msingi zaidii unataka kuwa bingwa confidence ipo ya kutosha maana tayari unaongoza na upo on the top of the table , umepumzika vya kutosha maana upo only kwenye epl unacheza sunday to sunday ila wapinzani wako walikua na gemu katikati ya week. Hata mungu mwenyewe anashangaa hawa arsenal niwape nini sasamaana favorable conditions zote zipo kwetu lakini at the end tumechoma game zote 2.
Inanikumbusha 2016 welbeck anafunga goli la kichwa dk ya mwisho kabisa vs Leicester tunarudiii kwenye title race na hope kubwa kilichofuata kilikuwa kituko game inayofuata ikawa j5 tukapigwa na swansea rasmi ndoto za ubingwa zikazikwa !! The arsenal way!!
The arsenal way will always be a false hope!!! Maana technically mpaka saivii man city wapo 2 points ahead of us!!
ITS ALL OVER FANS INABIDI TUKUBALIIIII. ITS OVER
Sasa si uwehu huo yani ulikuwa mbele mipoints kibao leo hii imebaki kumuombea mwenzio afanye vby alafu mwenzio mwenyewe nani, City
Inauma sanaNi kweli unavyosema ila kwa sasa no excuse katolewa FA ,Carabao na Europa league tuachage mentality za kinyonge ndizo miaka nenda rudi nyuma hatuna Big trophies kama EPL ,mpinzani wake yupo Championsleague, FA ,sisi tuna EPL pekee why tuone second place ni sehemu ya kuridhika na still tupo top hadi sasa?kwa sasa tulipo tukishindwa kubeba EPL na still 9 games zimebaki itakuwa ni tumefeli vibaya mno angalau hata tungeshika nafasi ya 3, kuliko mwaka mzima tuwe namba 1 then tumalize second place without FA,Carabao au Europa league medal!
Hongereni mmeshinda mkiwa Emirates tena kwa timu inaburuza mkia.Arsenal anashinda nilisema toka awali
Tukiwaambia hawaaminiWakati tupo kwenye tittle race na liverpool, liverpool ambayo ilikua haidondoshi point hovyo kama nyie, liverpool ambayo ilikuwa na wachezaji ambao wapo matured enough na wanaweza kucheza na kupata matokeo under pressure, akija pale etihad hajawahi kupata pointi 3.
Leo arsenal yenye wachezaji ambao hawawezi kuhimili pressure na wengi hawajiamini ndio mnataka mje kumpiga city ETIHAD?!!
Mpira unadunda ila kwa stages kama hizi, City huwa ni winning machine na wote ni mashahidi, liverpool walikua tishio kuliko nyie lakini waulizeni walivyobaki ulimi nje, point 1 tu iliwashinda kurecover.
Lakini sio mbaya mkipeana matumaini.
Nawasubiri Etihad mniletee kombe langu in pep's voice.
Lete matokeoNimemaliza kufuturu sasa nimetupia uzi wangu wa Arsenal naelekea banda umiza kuangalia mpira mzuri wa Arteta
Habari za nyumbu zimeishia kwa Sevilla
Let the truth be told, arsenal won't secure this season's epl title!We can overturn the table against City; who thought soton would secure a point at emirates
Ngapi ngapiTumetanguliwa lakini hatuna pressure
Arsenal ya NDOO hii
Ondoa hiyo " pengine"Ok Anything can happen ktk hizi mechi nane zilizobaki kwa Man City na pengine Arsenal mnaweza kubeba ubingwa lkn guys Guardiola huwa anaukatili sana kwenye hizi marathon na pengine hili kombe msimu huu ni lake.
Nawapa matumaini bana 🤣🤣🤣.Ondoa hiyo " pengine"
Sema ni lake
Matumaini gani unawapa?Nawapa matumaini bana.