Kula chuma hiyoooo dakika ya kwanza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenal NDOO
NDOO Arsenal
#COYG
Leo usikimbie, mapema tu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"
[emoji981]Caicedo
Arsenal NDOO
NDOO Arsenal
#COYG
"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"
[emoji981]Caicedo