Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watasubiri hadi Yesu anarudi ndipo washinde kombe. Hivi City wanaotarajia kwenda kufufukia kwao ni wale waliowatwanga Bayern kama mbwa mwizi au ni City wa Manzese? Endeeni kujifaraji nyie nyang'au! You never know until you know. Mavie nyie, mbwer Coco! 😀 😀 😀 😀 😀
Hizi Kima zinafikiri jumatano zinacheza na Mbeya City.
 
Jitu katili halina mbamba .mwendo mme umaliza vijana
894446608.jpg
 
Man Utd Fans mnawazidi wapinzani wenu Arsenyau kwa madongo ila Mashabiki wa Arsenyau wana matusi balaa kama waimba singeli [emoji2].

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hizi kima za humu wengi wao ni wale watoto waliolelewa na single mother.
Watoto waliokosa malezi ya pande mbili matusi kwao ni lugha ya kawaida cha msingi ni kuwavumilia tu na kuwaelesha taratibu.

#Asiefunzwa na mamaae atafunzwa na Soton.
 
Ok Anything can happen ktk hizi mechi nane zilizobaki kwa Man City na pengine Arsenal mnaweza kubeba ubingwa lkn guys Guardiola huwa anaukatili sana kwenye hizi marathon na pengine hili kombe msimu huu ni lake.
Mwa-City wana kikosi kikubwa sana na uzoefu wa kubeba EPL trophies, kuna wakati wako radhi wazidiwe ball possession ila wapate point 3.

Kama CB pekee ina wachezaji zaidi ya watano, unadhani hata rotation ya Wachezaji si inanoga sana?

Je faida za kuziba pengo la Majeruhi?

Je Mchezaji akiota mapembe si rahisi kuwekwa benchi hata msimu mzima?

Arsenal FC ina kikosi finyu kwa kufanya rotation sasa pumzi imekata.

Poleni sana Mashabiki wa Arsenyau.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wakati tupo kwenye tittle race na liverpool, liverpool ambayo ilikua haidondoshi point hovyo kama nyie, liverpool ambayo ilikuwa na wachezaji ambao wapo matured enough na wanaweza kucheza na kupata matokeo under pressure, akija pale etihad hajawahi kupata pointi 3.

Leo arsenal yenye wachezaji ambao hawawezi kuhimili pressure na wengi hawajiamini ndio mnataka mje kumpiga city ETIHAD?!!
Mpira unadunda ila kwa stages kama hizi, City huwa ni winning machine na wote ni mashahidi, liverpool walikua tishio kuliko nyie lakini waulizeni walivyobaki ulimi nje, point 1 tu iliwashinda kurecover.

Lakini sio mbaya mkipeana matumaini.
Nawasubiri Etihad mniletee kombe langu in pep's voice.
Mfano mzuri ni mechi ya mwisho msimu uliopita, City anapigwa 2 mashabiki wa Liverpool wakaanza kushangilia. Ilivyopigwa comeback wakina Salah wanauliza mashabiki vipi matokeo ya City uwanja mzima mashabiki hawaamini kilichotokea.

Hawa Arsenal pale Etihad wanaenda kufungwa tu, Man City wamecheza game nyingi ngumu na za ushindani msimu huu na wanapata matokeo.
 
Hawa Taito Kunitenda huko Uefa wanaenda kuzurura tu na kutolewa kwenye Group Stage kisha wanarudi zao kucheza Futuhi(Europa)
nyie wote ni futuhi material. futuh mnakaangwa yuefa mtaiweza kweli
 
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii

Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki

Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing

Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Arteta anamnyima nafasi ESR anampa mbwia unga
 
Mseng Ramsdale mpiga nyeto na yule mtumia madawa msimu ujao wasiwepo hata benchi
Next game turner akae golini, Arteta aache usenge kmmmk
nawashangaa nyie asenyani tangu lini mjieke presha ya kombe nyie n middle team na mnaridhikaga na ii ndo asenyani tunaoijua ile ya miez ilopita ni maigizo2 walikua wakifanya ateta na kikundi chake cha wahuni vijana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom