Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,781
Daa mkuu inatosha maana unanivunja mbavu"Atheno mwaka wetu huu"
"Namna tunavyofanya prething and overloading hakuna team inataka kucheza na atheno"
Kmamaeee.



Daa mkuu inatosha maana unanivunja mbavu"Atheno mwaka wetu huu"
"Namna tunavyofanya prething and overloading hakuna team inataka kucheza na atheno"
Kmamaeee.



. You are top of the table , unacheza na liverpool mbovu ndani ya dk30 unaongozaa 2 :0 , unacheza na westham inayopambana kutoshuka daraja ndani ya dk 15 unaongoza 2:0 na cha msingi zaidii unataka kuwa bingwa confidence ipo ya kutosha maana tayari unaongoza na upo on the top of the table , umepumzika vya kutosha maana upo only kwenye epl unacheza sunday to sunday ila wapinzani wako walikua na gemu katikati ya week. Hata mungu mwenyewe anashangaa hawa arsenal niwape nini sasa

maana favorable conditions zote zipo kwetu lakini at the end tumechoma game zote 2.Mwambie na hamis77 ajiandae kisaikolojia mana jamaa anaweza kujiua, yupo serious sn na mpira alafu timu zenyewe alizochagua mbovuTimu yoyote ile ingekua position tuliopo sisi ingechukua ubingwa hata Nottingham forest. You are top of the table , unacheza na liverpool mbovu ndani ya dk30 unaongozaa 2 :0 , unacheza na westham inayopambana kutoshuka daraja ndani ya dk 15 unaongoza 2:0 na cha msingi zaidii unataka kuwa bingwa confidence ipo ya kutosha maana tayari unaongoza na upo on the top of the table , umepumzika vya kutosha maana upo only kwenye epl unacheza sunday to sunday ila wapinzani wako walikua na gemu katikati ya week. Hata mungu mwenyewe anashangaa hawa arsenal niwape nini sasa
maana favorable conditions zote zipo kwetu lakini at the end tumechoma game zote 2.
Inanikumbusha 2016 welbeck anafunga goli la kichwa dk ya mwisho kabisa vs Leicester tunarudiii kwenye title race na hope kubwa kilichofuata kilikuwa kituko game inayofuata ikawa j5 tukapigwa na swansea rasmi ndoto za ubingwa zikazikwa !! The arsenal way!!
The arsenal way will always be a false hope!!! Maana technically mpaka saivii man city wapo 2 points ahead of us!!
ITS ALL OVER FANS INABIDI TUKUBALIIIII. ITS OVER






Kwani hamis77 anasemajeKuna baadhi ya wachezaji wa Arsenal wanafirwa. Ligi ya uingereza ipo chini kwa ubora, kama timu inayoongoza ligi inacheza hivi












































































































































































































































































































































































































Aaaargh bro,Kwani Sergio Gomez ni mchezaji wa timu ipi? Kwa hiyo akipangwa phillips inakuwa sio Man city ila akianza Rodrigo ndiyo Man city? Unazungumziaje Arsenal kumkosa Jesus, White na Partey mechi dhidi ya Man city, je ni halali na sisi tuseme ile si Arsenal sababu tulikosa wachezaji muhimu?
Man city ni timu ya rugby au?Hivi unaweza ukajiita shabiki wa mpira halafu unashabikia man city??
Kama wewe ni shabiki wa city utulie tu unajichoresha
.



AssAnal wana vituko vyao vya asili 😂When they knock ARSENAL Out of CARABAO CUP their Fans said that they are focusing on EUROPA LEAGUE, FA CUP and PREMIER LEAGUE.
MANCHESTER CITY knock them out of FA CUP tournament... ARSENAL Fans said that they are focusing on EUROPA LEAGUE and PREMIER LEAGUE.
SPORTING CP knock them out in EUROPA LEAGUE... ARSENAL Fans said that PREMIER LEAGUE is their aim.
Today ARSENAL dropped 2 Points, creating more rooms for MANCHESTER CITY. CITY has one game in hand and ARSENAL will still Face MANCHESTER CITY in EITHAD STADIUM.
I don't know the excuse their fans will come up with when they loose this PREMIER LEAGUE Trophy... But some already saying we are focusing for Next season
Poor arsenyani.
Hili kombe tushawakabidhi City aiseeNaona pressure iko kwenu sasa,
Si kuna wengine humu washaanza kusema malengo yao ni top 4!!When they knock ARSENAL Out of CARABAO CUP their Fans said that they are focusing on EUROPA LEAGUE, FA CUP and PREMIER LEAGUE.
MANCHESTER CITY knock them out of FA CUP tournament... ARSENAL Fans said that they are focusing on EUROPA LEAGUE and PREMIER LEAGUE.
SPORTING CP knock them out in EUROPA LEAGUE... ARSENAL Fans said that PREMIER LEAGUE is their aim.
Today ARSENAL dropped 2 Points, creating more rooms for MANCHESTER CITY. CITY has one game in hand and ARSENAL will still Face MANCHESTER CITY in EITHAD STADIUM.
I don't know the excuse their fans will come up with when they loose this PREMIER LEAGUE Trophy... But some already saying we are focusing for Next season
Poor arsenyani.