Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyo ni kama pisikali tu iliyonyimwa tako, yaani pamoja na uzuri wake lakini haina confidence hata kidogo.
tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Hivi unaweza ukajiita shabiki wa mpira halafu unashabikia man city??
Kama wewe ni shabiki wa city utulie tu unajichoresha
 
Arteta angepiga chabo hata kwa Morinho na Fergie jinsi ya kucheza mechi za mwisho mwisho,hizi mechi za mwisho lazima utumie mda mwingi kwenye defence.
Hiki kitu nilikuwa nawaambia raia hapa nyumbani kwangu, game za mwisho wa msimu huwezi kuziendea kichwakichwa wakati kila team inawaza kumaliza ligi vizuri. Ni lazima uziendee na mpango kazi wa kutafuta magoli mapema kisha uyalinde haswa.


Bado hamjakutana na Newcastle ambae anaitafuta top four kwa udi na uvumba na anaona kila dalili za kuipoteza baada ya kufungwa mechi yao iliyopita, bado Man City mwenyewe na nyingine nyingi tu ambazo zitakuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom