Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,189
- 37,358
Tunamtaka Man City hata sshv maana Chelsea kashajifia [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
JESUS KASHINDIKANA
JESUS KASHINDIKANA
livevstream wakuu
Muda wote anaomba awekewe kwenye Njia...Jesus analalamika kwanini hagewi pasi ascore tena
Sema anapoteza sana passNamuona zinchenko kwenye mwil wa Tierney
Huyu arteta [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Huwezi kuona Man city player anafanya upuuzi kama aliofanya partey halafu anacheza slow sana leo kanikera sana aiseeGoli la Partey
Of course, ule ni ujinga sana kwa Senior player kufanya upuuzi kama ule kwenye eneo la hatari kama lileHuwezi kuona Man city player anafanya upuuzi kama aliofanya partey halafu anacheza slow sana leo kanikera sana aisee
[emoji1][emoji1][emoji1] mkuu anza kuagiza bia kabisaUkiachana na ushabiki kuweni serious kidogo basi watu tume stake high.
Kwenye mechi mbili za mwisho Saka amepoa sanaSaka leo ampishe Trossard Mapema 2H, yupo slow sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] Jamani nyie mataito kunitenda leo hatutaki matusi humu.Partey analeta habari za kisenge hawa wachezaji wakisifiwa sana ndio matatizo yake haya
Hakuna link nzuri kwenye wing ya kulia kati ya saka na ben white,Saka leo ampishe Trossard Mapema 2H, yupo slow sana.