Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 854
Ndivyo ambavyo mnajazana ujinga hivi?Lampard ana history nzuri Sana na Man city...ana rekodi nzuri sana..
Mechi ya Chelsea na Man city... inaweza ikawa draw au city kufungwa
Kama historia ndio inacheza basi nikwambie tu huyo lampard si kitu kwa City.
LAMPARD VS CITY
1 win
1 draw
3 losses
Lete hiyo historia nzuri ya lampard kwa city.