Thubutuuuuu
Walikua wanacheza huku akili zao inawaza zile goli 7 alizopigwa nyumbu, kila wakitaka kusogea mbele Gabriel Magalasa anapiga kelele wasimuache peke yake hataki lawama.
Kikubwa washukuru tu ostadhi Salah jana alisahau kula daku, laiti angekua ameshiba hizi kima zisingenusurika na kile kipigo dhalilifu alichokutana nacho nyumbu.
Hawa wahaini wanajitangazia ubingwa huku bado wana mechi 9 mkononi wakitegemea sub ya kina Kwiyo halafu mshindani wao Pep Guardiola.
Mcheki huyu kima mweupe anavyo ogelea utafikiri yupo kwenye swimming pool.
#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Epl champion 2022/2023
View attachment 2582649