Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukisema baadhi ya mashabiki wa Arsenal akili ziko fyatu huwa mnatuona sisi wakorofi.

Ona huyu sasa alichoandika.

Unaijua UCL wewe?
Muulize Wenger au Pep watakupa picha kamili.
I see you bro, no comment
d1255055620f0e6a.jpg
 
Zincheko hakuna beki pale, yule anafaa kwa kuonea vibonde wa ligi tu ni bora tulimuuza.

Imagine kesho tuko na bayern af tuwe na beki zincheko amkabe gnabry au coman, watu wanajipigia tu.

Lakini hum wanakwambia watadominate uropean football kwa miaka 10+ kwa ule uchochoro zinchenko.
Mashabiki wa city

1. Nyumbu damu
2. Watoto wa 2000
3. Upinde
JamiiForums496841502.jpg
 
Kwa sasa hivi timu mbili ambazo haziwezi kutufikia officially ni Liver na Chelsea.

Haina msisimko tho coz siyo mara ya kwanza. Ni vile imekua muda mkubwa tangu itokee.
 
Unajua me nashangaa sana ... watu wanavyoibeza hii arsenal.
Ipo hiv ... kila timu ilikuw imebakisha mechi tisa kuelekea mwisho wa msimu. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa mechi ngumu kwa arsenal ilikuwa ni ya liver. Hasa ukizingatia mechi inapigwa Anfield. Ile mechi laiti kama ingekuwa inapigwa emirates arsenal alikuwa ameshashinda kabla ya mechi
Katika mechi nilizokuwa najua arsenal atapotezani dhidi ya liver tena na ndo mechi ngumu kuliko zote alizokuwa amebakisha arsenal. Yawezekana man city asipoteze mechi yoyote kati ya zilizobaki.
Na arsrnal nia yake kubwa ilikuwa asipoteze mechi yoyote kati ya zote 10 zilizokuwa zimebaki.
Naona hili wazi kabisa linaenda kutimia. Kuna mtu nilimwambia kuwa kati ya big six zote hakuna atakayechomoka Anfield.
Arsenal inabidi washukuru kuondoka na point Anfield.
Kombe bado lipo mikononi kwa arsenal.
 
Arsenal ipo vizuri sana,hatuitaji pressure,arsenal anatakiwa ashinde mechi zake zote na timu ndogo kabla ya kuwaza timu kubwa,kiana ya mpira tunaocheza mechi ya man city ni rahisi zaidi kwetu kuliko mechi ya liverpool hata ukiangalia mechi ya kwqanza ni makosa madogo tukiyarekebisha tunashinda.kwangu naona draw ya liver ni 'blessing disguise' kuliko tungeshinda kwa kukaa nyuma then tuende kwa man city akatuadhibu kwa hiyo game approach
 
Man city hawana kiwango kile cha kuizid arsenal. Na hilo Pep alilijua hilo na ndo mana alikuja na game plan yake pale Emirates. Mechi ya kwanza arsenal alikuwa akihitaji point 3 kuliko man city. Lakini hii game man city ndo mwenye uhitaji zaidi wa ponit 3 kuliko arsenal
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti hamna mtu anaepaki basi lile mlilopaki kipindi cha pili lilikua behewa la treni?
Hivi mnamjua Liverpool akiwa Anfield nyie kima?
Tena bahati yenu mngejifanya kutaka kupishana 7up ya nyumbu na nyie mngeikunywa vizuri tu kima nyie.




#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
Rashford nje miezi miwili ,una habari ?au unapayuka tu humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom