Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tottenham alikuwa anaongoza 2 mtungi pale Etihad,mwisho wa siku akapigwa 4-2 mechi ikaisha

Hawa hawa Liverpool walikuwa wanaongoza mabao 2 kwa 0 dhidi ya Madrid, I hope unajua kilichowakuta.
Key word 'tabia za mabingwa'
spurs na Liverpool hawakua title contenders kwenye hizo games umetaja
 
Ndivyo ambavyo mnajazana ujinga hivi?

Kama historia ndio inacheza basi nikwambie tu huyo lampard si kitu kwa City.

LAMPARD VS CITY
1 win
1 draw
3 losses

Lete hiyo historia nzuri ya lampard kwa city.
Ungeweza kuweka hizo stats bila kutumia maneno ya kuudhi kenge maji weee
 
Hajashusha timu kwa kupenda bali alizidiwa maarifa na Klopp hasa baada ya kuingia Alcantara.
Arsenal mnashindwa kumkubali mpinzani kuwa amewazidi.
Tatizo la arsenal fans they are so biased kiasi kwamba wanataka kupindisha facts ziendane na mapenzi yao.
Kwenye mpira ukishakuwa totally outsmarted hauna ujanja zaidi ya kurudi nyuma automatically, wao wanakwambia arteta kawarudisha nyuma as if walikuwa na ubavu wa kubattle na liverpool.

They can't admitt that they where totally outsmarted in every angle.
 
Ass'anal akikosa ubingwa mwaka huu hatopata tena mpaka mwaka 2090.
Kama huioni timu yako hapa kaa kwa kutulia sio kupita mbele ya wanaume huku ukitingisha makalio
20230410_182338.jpg
 
Wana Arsenal tulizeni munkari. Hawa maharamia wavamizi wasitutoe mchezoni. Man city tutamfunga. Tuombe uzima, na wachezaji wawe fit. Huyo chelsea na wengine sio wa kuwahesabia..
 
Jamaa anatutisha but the real truth huu ndio ukweli wa Kipara hanaga mzaha wana Gunners wenzangu,players na kocha waondoe presha na wawe very serious muda huu,tumekosa FA,Carabao na Europa tukasema tunaweka nguvu kwenye EPL ili tuwe na match chache so kwa sasa ni no excuse tunahitaji EPL liende kabatini Emirates
Screenshot_20230410_200547_Instagram.jpg
 
Jamaa anatutisha but the real truth huu ndio ukweli wa Kipara hanaga mzaha wana Gunners wenzangu,players na kocha waondoe presha na wawe very serious muda huu,tumekosa FA,Carabao na Europa tukasema tunaweka nguvu kwenye EPL ili tuwe na match chache so kwa sasa ni no excuse tunahitaji EPL liende kabatini EmiratesView attachment 2583580
Hii kauli iogopeni Arsenal,ni sentence yenye maneno machache sana lakini waulizeni Liverkuu wa kideli,walifukuza upepo hadi filimbi ya mwisho upara anavuna point baada ya point tu.
 
Kupambania UCL trophy ni kutumia nafasi kama hizi, msimu ujao experience itakua ya kutosha

Hii timu itaenda kudominate European football kwa miaka 10+View attachment 2582602
Tukisema baadhi ya mashabiki wa Arsenal akili ziko fyatu huwa mnatuona sisi wakorofi.

Ona huyu sasa alichoandika.

Unaijua UCL wewe?
Muulize Wenger au Pep watakupa picha kamili.
 
Inatisha lakini msiogope.

Hivi Arsenal mnajua timu mnayo kimbizana nayo lakini?
1681151933661.jpg
 
Tukisema baadhi ya mashabiki wa Arsenal akili ziko fyatu huwa mnatuona sisi wakorofi.

Ona huyu sasa alichoandika.

Unaijua UCL wewe?
Muulize Wenger au Pep watakupa picha kamili.
Kwamba wenger na kushiriki kote uefa bado team yake ilikua haina experience ya kutosha kudominate europian football!!

mkuu hili jukwaa lina wehu sio bure.
 
Back
Top Bottom