Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa wachezaji wa mafungu ndiyo mnataka wakacheze Champions League!?
20230410_102550.jpg
 
Alivyokuwa kocha mwanzo ..
Aliwafunga city sana
Si kweli.

Lampard katika career yake ya ukocha (chelsea,everton & derby county) kakutana na City kwenye mechi 5 tu, kashinda moja, kadroo moja na kapigwa tatu.
 
Liverpool vs Arsenal NDOO

Liverpool wakiwa wanategemea historia ya uwanja Kama silaha yao kubwa,
Arsenal wanategemea kikosi kazi kiende kumaliza kazi mapema Sana kwenye huo uwanja

Liverpool ya sasa, timu yao imekatika sana
kuanzia walinzi, viungo Hadi washambuliaji
Majerui ya muda mrefu, na umri mkubwa wa wachezaji walio wengi
Wanawakaribisha arsenal iliyoimalika zaidi ya miezi sita nyuma
Arsenal ya Moto, high energetic, passionate na commitment ya hali ya juu. Ata wakitanguliwa goal ni ngumu kuwatoa mchezoni
Inabidi ujiandae muda wote utakimbizwa mchakamchaka

Ni mpuuzi pekee anaefikiria eti hii game tukishinda ubingwa ni wetu
Huko tulipotoka tumecheza game za kiroho mbaya sana ukijumlisha fitina za var kunyimwa hazi zetu

At this moment niambie Bora ukutane na Liverpool au Brighton/Newcastle/city?

Niambie Kuna beki gani pale wa Liverpool wakuweza kuwazuia saka/martinel/trossad/Jesus wakiamua kufanya Jambo lao?

Battle la kiungo: partey/odegard/xhaka
Huku zinchenko anakuja Kama inverted midfielder
Ndio kiungo Bora kwa sasa pale epl akitoka man city
Niambieni Liverpool anatokea wapi hapo

Forward line ya Liverpool mwenye uhai ni Salah tu, ambae nae anakabika kirahisi tu
Na kwa sababu Kuna partey mkata umeme watajikuta wanazurula tu

Liverpool ni wabovu walio mpiga nyumbu 7, coz nyumbu ni wabovu zaidi times 10

Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii
Kwa maana anaweza akachakazwa nyingi
Liverpool atapaki bus Kama walivyopaki bus nyumbu
Lakini haitakua sababu ya kuwazuia watu niliowataja hapo juu kabla ya viungo

Liverpool 0 vs arsenal 3 (wakipak bus)
Liverpool 1 vs arsenal 6 (wakitaka tupishane)

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Nyumbu YUROPA
"Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii
Kwa maana anaweza akachakazwa nyingi
Liverpool atapaki bus Kama walivyopaki bus nyumbu

Liverpool 0 vs arsenal 3 (wakipak bus)
Liverpool 1 vs arsenal 6 (wakitaka tupishane)"

Nyie wazee wa kupaki msimamo wenu bado ni uleule kua Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii?

#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
 
We mwehu unapata wapi nguvu za kucomment humu ikiwa unatatuliwa na vijana wadogo kila inayoitwa leo?????????????

Weka msimamo...
Totte nimewahi kuwafanyia roho mbaya back then msimu ambao Leicester alibeba ubingwa. Mind you ule msimu tulimaliza nafasi ya 15.

Bado hujakutana na mimi na timu yangu mbovu, naweza kukushangaza. Shauri yako.
 
Walitaka kupishana na Liverpool kimewaangukia kitu kizito. Wakajaribu kufanya hivyo Etihad na St. James' Park pia waone.
Pale emarate walitupigia mpira mkubwa si tukakaa golini na bado wakafa tatu.
The same kwa man utd pale OT.

Ili ujue nyani ni nyani tu, jana wazee wa pressin' & overloadin' ikabidi waweke mabehewa golini na bado goli zikarudi.

Poor arsenyani.
 
Mimi najiuliza, hivi jana arsenal walikua coached na sean dyche kwa muda au?!

Maana tumeaminishwa arsenal hii ya arteta, arsenal ya pressin' &overloadin' sio ya kupimana nao nguvu maana utakula nyingi lakini sasa lile basi tuliloshuhudia jana hata mourinho kwenye ubora wake akasome.

Poor arsenyau
 
Uzuri wa hii mechi hamna mtu anapaki basi, hata mmoja awe mbovu vipi hakuna kuheshimiana njoo na mimi nakuja, ATTACK ATTACK ATTACK

Ndio maana #LIVARS ni FIXTURE yenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya EPL.

Tunatakiwa tuwe wazuri tukiwa na mpira na tunapokuwa hatuna mpira.
eti hamna mtu anaepaki basi lile mlilopaki kipindi cha pili lilikua behewa la treni?
Hivi mnamjua Liverpool akiwa Anfield nyie kima?
Tena bahati yenu mngejifanya kutaka kupishana 7up ya nyumbu na nyie mngeikunywa vizuri tu kima nyie.

#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
 
Mkuu trust me, Leo liver lazima akae nyumba
mashambuliz ya Liverpool huwa yanategemea Sana full backs ambapo ni AA na Robertson, na ndio njia za saka na martinel

Leo Liverpool akifunguka anakula mkono
hapa mlikua mnajisemea kinyumenyume.
Mngefunguka mkanywa 7up.

#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
 
Saa hii kila mtu anajifanya yupo disappointed kwanini Arsenal haishindi.

Hoya hii show haiwahusu. Wakati inaanza mlikua mmekaa kwenye viti show inaelekea mwishoni ndiyo mnatufundisha steps?

Piteni kushoto 😂
 
Liverpool vs Arsenal NDOO

Liverpool wakiwa wanategemea historia ya uwanja Kama silaha yao kubwa,
Arsenal wanategemea kikosi kazi kiende kumaliza kazi mapema Sana kwenye huo uwanja

Liverpool ya sasa, timu yao imekatika sana
kuanzia walinzi, viungo Hadi washambuliaji
Majerui ya muda mrefu, na umri mkubwa wa wachezaji walio wengi
Wanawakaribisha arsenal iliyoimalika zaidi ya miezi sita nyuma
Arsenal ya Moto, high energetic, passionate na commitment ya hali ya juu. Ata wakitanguliwa goal ni ngumu kuwatoa mchezoni
Inabidi ujiandae muda wote utakimbizwa mchakamchaka

Ni mpuuzi pekee anaefikiria eti hii game tukishinda ubingwa ni wetu
Huko tulipotoka tumecheza game za kiroho mbaya sana ukijumlisha fitina za var kunyimwa hazi zetu

At this moment niambie Bora ukutane na Liverpool au Brighton/Newcastle/city?

Niambie Kuna beki gani pale wa Liverpool wakuweza kuwazuia saka/martinel/trossad/Jesus wakiamua kufanya Jambo lao?

Battle la kiungo: partey/odegard/xhaka
Huku zinchenko anakuja Kama inverted midfielder
Ndio kiungo Bora kwa sasa pale epl akitoka man city
Niambieni Liverpool anatokea wapi hapo

Forward line ya Liverpool mwenye uhai ni Salah tu, ambae nae anakabika kirahisi tu
Na kwa sababu Kuna partey mkata umeme watajikuta wanazurula tu

Liverpool ni wabovu walio mpiga nyumbu 7, coz nyumbu ni wabovu zaidi times 10

Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii
Kwa maana anaweza akachakazwa nyingi
Liverpool atapaki bus Kama walivyopaki bus nyumbu
Lakini haitakua sababu ya kuwazuia watu niliowataja hapo juu kabla ya viungo

Liverpool 0 vs arsenal 3 (wakipak bus)
Liverpool 1 vs arsenal 6 (wakitaka tupishane)

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Nyumbu YUROPA
Nimecheka Sana🤣
Umeona sasa viungo waliokatika walivyowapeleka moto
Historia ya uwanja je?🤣
 
Uzuri wa hii mechi hamna mtu anapaki basi, hata mmoja awe mbovu vipi hakuna kuheshimiana njoo na mimi nakuja, ATTACK ATTACK ATTACK

Ndio maana #LIVARS ni FIXTURE yenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya EPL.

Tunatakiwa tuwe wazuri tukiwa na mpira na tunapokuwa hatuna mpira.
Ilikuwaje tena mkapaki?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom