Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,227
- 76,751
Kama mmeshindwa kutamba kwetu leoPresha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.
Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
Ila hakupark bus na kuanza kupoteza muda kama Arsenal.Liva aliongoza mbili dhidi ya Madrid
Wote tunajua kilichotokea.
Ubingwa tunachukua, aya kajambe mbeleArsenal hamuwezi kuchukua ubingwa wa ligi kuu England. Leo tu mmeponea chupuchupu kufa. Milikuwa mnapoteza muda kwa kujiangusha angusha na kudelay restart lakini dakika za mwisho mmetamani mpira uishe.
Hamna mentality ya ubingwa. Huwezi ongoza mbili first half halafu uanze kucheza mind games za kupoteza muda bila sababu.
Hiyo ni loser mentality na ndio inawanyima ubingwa.
Arteta ajifunze game managementNaanza kukubaliana na wewe ukiuliza why tumeshindwa pata 3 points leo jibu ni PRESHA YA UOGA,unaongoza goals 2 na zinarudi ,Yes Anfield ni pagumu but kwa mchezo wa leo ukikumbuka una games Etihad na St James Park unaishia kuguna
Wao hawakupark bus kwenye mechi ya Madrid na wakapoteza na sisi tumepark bus pale Anfield na tukatoka draw so in this case who's better than the other??Arsenal hamuwezi kuchukua ubingwa wa ligi kuu England. Leo tu mmeponea chupuchupu kufa. Milikuwa mnapoteza muda kwa kujiangusha angusha na kudelay restart lakini dakika za mwisho mmetamani mpira uishe.
Hamna mentality ya ubingwa. Huwezi ongoza mbili first half halafu uanze kucheza mind games za kupoteza muda bila sababu.
Hiyo ni loser mentality na ndio inawanyima ubingwa.
Ila hakupark bus na kuanza kupoteza muda kama Arsenal.
Hizo fixtures tunaweza kushinda kama tunasukuma mlevi, ila mentality ya timu inabidi ibadilike huwezi kua unaongoza goli mbili unakimbilia kupaki basiRemaining fixtures View attachment 2582549
Arse8 mizembe sanaLeo nimekuona mahala ulikuwa unashangilia balaa
Hii game ya leo inaweza kua funzo kwa Arteta na wachezaji kua hatupo kwenye kipindi cha kumuogopa adui na kumsubiri ajeKama mmeshindwa kutamba kwetu leo
Basi msitegemee mtawafunga city, Tena nyumbani kwao.
Mmewazawadia hili kombe Kwa uzembe wenu.
Msingepaki busHizo fixtures tunaweza kushinda kama tunasukuma mlevi, ila mentality ya timu inabidi ibadilike huwezi kua unaongoza goli mbili unakimbilia kupaki basi
Tulia wewe pambania conference league hukoMsingepaki bus
Mngefunga mabao mengine zaidi ya hayo
Mizembe nyanya mkaridhika.
Mkajiona mmemaliza.
Nafasi ya Ubingwa bado ipo hii EPL lolote linaweza kutokea.Arsenal hamuwezi kuchukua ubingwa wa ligi kuu England. Leo tu mmeponea chupuchupu kufa. Milikuwa mnapoteza muda kwa kujiangusha angusha na kudelay restart lakini dakika za mwisho mmetamani mpira uishe.
Hamna mentality ya ubingwa. Huwezi ongoza mbili first half halafu uanze kucheza mind games za kupoteza muda bila sababu.
Hiyo ni loser mentality na ndio inawanyima ubingwa.
Watu mnataka ushindi na mnakaa mnaridhika!Hii game ya leo inaweza kua funzo kwa Arteta na wachezaji kua hatupo kwenye kipindi cha kumuogopa adui na kumsubiri aje
City tunaweza kumfunga
Goli mbili mlizofunga zilisawazishwa ndani ya dakika 15. Mngepoteza muda saa ngapiIla hakupark bus na kuanza kupoteza muda kama Arsenal.
Sisi tunawatakia mema mjue[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia wewe pambania conference league huko
Kametumbua tumbo badala kapambanie mechiReplacement ya Xhaka ni muhimu sana wazee
Hiki kitendo kilitutoa mchezoni kabisa View attachment 2582558
Presha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.
Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
Naona upo hapa kusaga kunguni na kuzichoma.Sisi tunawatakia mema mjue[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzembe wenu mnataka muache yule Kipara abebe tena
Poor arse8