Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Niache nilale mimiHizi Kima kama mechi na Liver zimesingizia Presha basi tutegemee mechi yao na City zitasingizia Kisukari.
#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Epl champion 2022/2023












Niache nilale mimiHizi Kima kama mechi na Liver zimesingizia Presha basi tutegemee mechi yao na City zitasingizia Kisukari.
#Asenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Epl champion 2022/2023












Na wenzenu Kule wapo kupanga hesabu zao kama hivihiviIpo hivi Arsenal NDOO
Kipindi hiki ndio fans tutageuka wachawi ni kuombeana mabaya tu
Tukitoboa kwa city na Newcastle ata sare tu kazi itakua imeisha



Arsenal NDOO ni watoto wa mjini, city hataaminiNa wenzenu Kule wapo kupanga hesabu zao kama hivihivi![]()



Arsenal NDOO ni watoto wa mjini, city hataamini
Aliempiga nyumbu 7 ndio anapewa nguvu kubwa na hao hao nyumbu
Kenge wapo neutral, maji kupwaa maji kujaa
Bora wanangu Liverpool, ila leo mlitukazia balaa daah ile 2nd half![]()




Arsenal akichukua ubingwa nakunya mpk mbeya.Paul Scholes![]()
"To me Arsenal is a best team in the world.. Imagine they have managed to score 66 goal without a Halaand type of striker... City have score a goals more than them..
No one could expect them to have such dominance.They deserve distinction..I wish them to WIN the league without jealous...Arteta is really a best Coach in the world"![]()







Hapa mechi rahisi ni dhidi ya Chelsea
The rest Mungu labda aingilie kati.
Mechi nyingine zote zilizobaki mnaweza kushinda,kasoro mechi moja tu!Uwanja mgumu kutoka salama ni Anfield na tumetoka salama tunaenda Etihad tukilaza sare bado faida kwetu Arsenal tunaenda pale Eastland/City of manchester/ Etihad kuchukua points 3 kama tilivyozitaka leo tulivyokosa tumepata points 1 bora ulenge jua ukikosa kulipata jua uwezi kukosa nyota ndio mbinu inayolipa leo na ndio tunayoenda kuitumia Pale nyumbani kwa City,mambo ya ubinadamu kuanzia kwa refa hadi wachezaji wetu yametucost,Xhaka kadi ilimpunguza nguvu,Ben White kadi ilimpunguza nguvu,Zinchenko hana baya kosa la kawaida ila sub ilitakiwa iwahi,Atmosphere ya Anfield ambayo huipat pengine ndio iliyopelekea kipindi cha pili kila jambo liwe ovyo ila viwanja vingine tunaendeleza moto wetu
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Kwasasa Arsenal haipaswi kupoteza mechi hata moja EPL Wala kulingana point na anayekufukuzia nyuma or else this season will be trophyless to you na hii ni kwasababu nyuma yenu yupo Man City ambaye hizi ndizo nyakati zake.
Kwani imekuwaaje arse8 asichukue ubingwa, em nipe update mkuu nini kimetokea?Kuhusu kelele za ubingwa nafikiri zimeisha rasmi leo![]()
Kwani nyie matakataka livakuku mumekipiga na awa arse8 😳😳Mechi nyingine zote zilizobaki mnaweza kushinda,kasoro mechi moja tu!
Man City,mtacheza hadi mtenguke viuno ila kumtoa man city kwao sahauni.
Huu ukweli wanaujua Ila wanajifariji kwa kusahau kwa misimu ya hivi karibuni city v liva au city ya mwishoni mwishoni mwa enzi za Sir Alex Fugy. Ngoja tuwaache wajifarijiMlishindwa kweli kwenda na moto mlioanza nao!
Yaani liver tulivyo wabovu safari hii, siamini kama mmeshindwa kabisa kuchukua points tatu,
Nawakumbusha
Huku mwishoni Kipara huwa hatanii.
Mtajionea wenyewe![]()
Kabla ya mechi ya united Rio Ferdinand alisema "Huu ndiyo wakati mzuri kwenda kumfunga liva nyumbani, tupo kwenye form na sasa hivi kiwango chao kimepungua"
Wakafa 7 kwa 0
Mshindani wetu wa karibu alifungwa hapo hapo, yeye alifungwa 1 kwa 0.
Kuna watu wanatutishia Chelsea na Brighton. Kwanza niwape pole Brighton kwa walichofanyiwa mpaka wameombwa msamaha. Arsenal yalitukuta pia. Lakini ambacho hawajui ni kwamba hata City naye ana Chelsea ana Brentford na ana Sisi pia ila huwezi ambiwa haya coz hata wao hawajui.
Anyway, chelsea ni mechi ngumu kweli lakini sababu pekee ni ngumu ni kwakua ni derby na derby hazitabiriki, tushamfunga chelsea akiwa na kikosi anachokiona bora tushamfunga akiwa anajiona yupo kwenye form na ana kocha wake bora so hii ugumu wake ni huo tukija on pitch Arsenal tuko vizuri kuwazidi.
Brighton ina attack nzuri. Recently defense yake imekuaje? No one sees this.
Timu ambazo City kabakisha nyingi hazipo on form so tunatarajia iwe a walk in a park kwake and with that hii inamaanisha tukomae no one will save us. Gape la points nane limepungua na kua 6 this means tunatakiwa kushinda mechi mbili zijazo as zitatupa morali wakati tunaenda kutana na city
Kiwior is not good enough so is Rob. Our best LB put pf all people was nutmegged by Trent. I hope kocha anaona na atachukua hatua. We came too far to say we will settle for a second place.


Usingizi hauji kabisa? Huamini kinachoenda kutokea. Nafasi ya pili ndiyo uwezo wa Arsenal.