hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Mimi kwasasa siwez kujibishana na shabiki wa manjesta ambaye timu yake mwanzo wa msimu mnasema mnagombea ubingwa ,muda huu mnakimbilia kutafuta kucheza Europa"Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao"
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ni One season wonder,
Hamna tofauti yoyote na Leicester City ya 2015/2016 ambao walifanikiwa kubeba Epl.
Mkishindwa kuchukua msimu huu ndio msahau kabisa kuhusu kuchukua Epl.
Msimu ujao mnaenda kupoteana, hata hio UCL yenyewe mnaenda kutolewa kwenye group stage na kurudi zenu Europa.
Habari mbaya zaidi kwenu hizo mechi za Epl zilizo salia hakuna hata mechi moja City anayoenda kupoteza.
#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Champion 2022/2023View attachment 2581358
Sasa Ni matumizi mabaya kujibishana na nyie